Pressure Cooker ipi ninunue?

Umeweka maji kidogo sana..

1. Ukiweka Mchele, hakikisha maji yanajaa full yanafunika wali.

2. Usifunue wala usikoroge.

3. Chumvi na mafuta kidogo weka.

4. Set kwenye RICE kisha acha Mchina afanye yake.
Kaka hapo umeshaiva kaka nilikuwa nakuuliza jinsi ya kupika pilau nielekeze Cc ephen_
 
Embu nielekeze Cc ephen_ hapa naona option ya kupika ubwabwa
Fuata maelekezo mkuu. Science does not cheat. Kama ukiambiwa 1000grams/lt ukizidisha hata gram moja au milliliter 1 tayari huwezi kupata matokeo yaliyokusudiwa japo hautakuwa mbali na matokeo uliyotaka.

So kama ulitaka wali ukapata ubwabwa basi kuna mahali umekosea kwenye hivyo vipimo ili kuleta balance inayoweza kukupa unachotaka.
 
😭😭😭😭Nimeharibu mchele Cc ephen_
 
Wachaga mpo vizuri☺️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…