min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Kodtel ni kampuni ya kichina inayo zalisha vifaa vya umeme, von niya kenya.Kodtel ndio kampuni ipi hiyo? Unaweza kuweka ushahidi wa hiyo kampuni?🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kodtel ni kampuni ya kichina inayo zalisha vifaa vya umeme, von niya kenya.Kodtel ndio kampuni ipi hiyo? Unaweza kuweka ushahidi wa hiyo kampuni?🤔
Una uhakika?Kodtel ni kampuni ya kichina inayo zalisha vifaa vya umeme, von niya kenya.
Unanichukuliaje😁Una uhakika?
Hamna kampuni inayoitwa kodtel..!Unanichukuliaje😁
Brand zote nzuri tu mkuuWanauza bei Gani mbona hukuniambia mapema hadi nimevamia brand nyingine
WajapaniMchina au?
KodtecHamna kampuni inayoitwa kodtel..!
Japan wapo vizuri kwenye vifaa vya umeme.Wajapani
Kabisa kaka jamaa wanajua sanaJapan wapo vizuri kwenye vifaa vya umeme.
Hapo sawa!Kodtec
Pia ni chapa kali sna na ina bidhaa imara, tatizo siku hizi uchakachuaji ni mwingi sanaHapo sawa!
Kuna ndugu yangu alisafiri akatuachia pasi, kuna siku nikaiangusha kutoka juu mpaka chini
Mama alipotaka kupiga pasi nikamuambia pasi niliiangusha ikatoa kishindo kikubwa.
Hakujali akachomeka kitu kikawaka, tunaitumia mpaka kesho.
Siku nikaikagua nikaona maandishi yaliyofutika ila nikang'amua ni kodtec
Nilipoenda dukani kwao kununua kitu kingine nikawapa sifa zao.
Nishakua mteja wao wa kudumu kuanzia sasa na baadae.
Uchakachuaji wa nini? Itabidi mtu ukanunue kwenye duka lao moja kwa mojaPia ni chapa kali sna na ina bidhaa imara, tatizo siku hizi uchakachuaji ni mwingi sana
TV zao nzuri sanaHapo sawa!
Kuna ndugu yangu alisafiri akatuachia pasi, kuna siku nikaiangusha kutoka juu mpaka chini
Mama alipotaka kupiga pasi nikamuambia pasi niliiangusha ikatoa kishindo kikubwa.
Hakujali akachomeka kitu kikawaka, tunaitumia mpaka kesho.
Siku nikaikagua nikaona maandishi yaliyofutika ila nikang'amua ni kodtec
Nilipoenda dukani kwao kununua kitu kingine nikawapa sifa zao.
Nishakua mteja wao wa kudumu kuanzia sasa na baadae.
Sijawahi kuziona! Ila duka lao lina kila kituTV zao nzuri sana
Umebadilisha raba?Sijawahi kuziona! Ila duka lao lina kila kitu
NdioUmebadilisha raba?
Ndio maana nilishindwa kukujua Leo 😂😁Ndio
Picha huoni hata kusoma hujui😂Ndio maana nilishindwa kukujua Leo 😂😁