Pressure Cooker ipi ninunue?

Msaada namna ya kutumia pressure cooker ya ailyons.... Kabla ya kuanza kupika kile kiduche Cha kurelease pressure kinatakiwa kifungweje
 
Katavi niende wapi
Zinapatikana kila sehemu ni wewe useme uko wapi..

Kama uko dar nenda kariakoo ulizia watu wanaitwa "nida danish" kama uko arusha ninda kwa bensoni..

Wote hao bei zao zinachezea kwenye hiyo rang
 
Chukua NIKAI ni nzuri sana.

Kuna Von inayofanana na hii NIKAI nayo ni nzuri.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…