Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Ulikuwa sio aphen yake yule niliye mazoea ๐๐๐๐Picha huoni hata kusoma hujui๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikuwa sio aphen yake yule niliye mazoea ๐๐๐๐Picha huoni hata kusoma hujui๐
Vile nimevifuaโบ๏ธUlikuwa sio aphen yake yule niliye mazoea ๐๐๐๐
Mashallah ๐๐ na ulivyo na miguu mizuriVile nimevifuaโบ๏ธ
Pika viungo vyako pembeni ikifika kuweka mchele.. weka viungo vyako Kwa rice cooker na maji ya kutosha๐๐๐๐๐คฃ๐๐๐๐๐ Nataka kupika pilau
Na nyama je ?Pika viungo vyako pembeni ikifika kuweka mchele.. weka viungo vyako Kwa rice cooker na maji ya kutosha
Thanks sana ๐ ubarikiweUtakuwa ushaipika pembeni.. kwenye rice cooker unaweka ulivyokarangiza + maji ya kuivisha mchele ร mbapo ukimix ni pilau
nunua vonMambo.
Nimekutana na haya mawili Von na Kodtec pressure cookers.
Kwa budget ya chini ya Tsh 200,000/= nichukue lipi?
Au kuna suggestion nyingine?
Zinapatikana kila sehemu ni wewe useme uko wapi..
Kama uko dar nenda kariakoo ulizia watu wanaitwa "nida danish" kama uko arusha ninda kwa bensoni..
Wote hao bei zao zinachezea kwenye hiyo rang
1. Nutricook inauzwa around 350k
2. Von inauzwa around 230k
NB: Itabidi uongeze bajeti.