Hiyo presha cooker umeuziwa kwa mkataba wenye masharti magumu, au! Na hiyo sufuria ya kubadilisha unaitoa wapi? Na kwa nini hutaki kufuata ushauri wa kununua presha cooker nyingine?Basi hii itakuwa fake nitumie njia gani Sasa wakuu? Au nibadilishe lile sufuria la ndani?
Sawa huu ndio ukweli ntakuwa niliharibu nitabadilisha japo sijui ni shingapiHizo hazisuguliwi kwa steelwire kijana, wewe ndie ulieiharibu.
Badili hilo sufuria.
Shida ya kwanza kutumuia steel wire kuoshea iyo unatakiwa uoshee na sponjiPressure cooker yangu naiosha sana ila bado inakuwa kama inatoa kutu na maji yanabadilika rangi kuwa kama meusi hata wali unabadilika rangi..
Nimeosha sana na Steel wire
Ila bado nitumie njia gani? Nisije kuwa nakula sumu bila kujua
Sitaki kufuata ushauri wa kununua ingine kwa Sababu sina hel(unaweza kuninunulia)Hiyo presha cooker umeuziwa kwa mkataba wenye masharti magumu, au! Na hiyo sufuria ya kubadilisha unaitoa wapi? Na kwa nini hutaki kufuata ushauri wa kununua presha cooker nyingine?
Shida ya kwanza kutumuia steel wire kuoshea iyo unatakiwa uoshee na sponji
Pili iyo ni fakee nunua nyingine no mjadala ni fake bai ya jioni
Lamomy
NAUZA NYUMBA INA APARTMENT MBILI DARPressure cooker yangu naiosha sana ila bado inakuwa kama inatoa kutu na maji yanabadilika rangi kuwa kama meusi hata wali unabadilika rangi..
Nimeosha sana na Steel wire
Ila bado nitumie njia gani? Nisije kuwa nakula sumu bila kujua
Dah ila nahisi sufuria ndio shida ila kwa vingine Naona bado mpya unyamaSitaki kufuata ushauri wa kununua ingine kwa Sababu sina hel(unaweza kuninunulia)
Sasa ungesema ivyo unataka ya aina gani?Sitaki kufuata ushauri wa kununua ingine kwa Sababu sina hel(unaweza kuninunulia)
Mwendo ni wa nishati safi mkuuTumia mafiga, uhakika 🙏
Kama ni KE, ni suala la dakika 0 tu. Ila kama ni ME, siwezi.Sitaki kufuata ushauri wa kununua ingine kwa Sababu sina hel(unaweza kuninunulia)
Kumbe umenunua iliyo tumika 😂😂😂 Lamomy jibu umelipataHapa itabidi kesho niende kuliuza kwa wale washikaji wa vitu used wanipe hela yoyote nisije kubeba cancer bure
Kosa hukupaswa kuisugua Kwa steel wire!Hukushaisugua tu umeiharibu na ndio chanzo Cha kutoa hizo kitu!Badilisha sufuria klla ndani kama unaweza pataNdio sufuria yake ndio inatoa kutu mkuu
NYIEEE, PRESHA KUKA MPAKA INASUGULIWA NA STILIWAYA???Pressure cooker yangu naiosha sana ila bado inakuwa kama inatoa kutu na maji yanabadilika rangi kuwa kama meusi hata wali unabadilika rangi..
Nimeosha sana na Steel wire
Ila bado nitumie njia gani? Nisije kuwa nakula sumu bila kujua
HahahaTumia mafiga, uhakika 🙏
Kasema kanunua kwa wauzaji wa vitu usedIssue apa iyo sufuria ni fake , me pia na mult cooker sufuria yake ilikua ya mchongo ina pata kutu , Hadi leo nime liweka store nazani tupatiwe muongozo wa wapi wana uza sufuria zake.
Hamna wanapouza katengeneze kwa wanaotengeneza Sufuria za kawaida nenda na size yako wakutengenezee sufuria.Issue apa iyo sufuria ni fake , me pia na mult cooker sufuria yake ilikua ya mchongo ina pata kutu , Hadi leo nime liweka store nazani tupatiwe muongozo wa wapi wana uza sufuria zake.