Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Kanunua 60k kwa watu wanao uza vifaa usedMteja unamwambia Pressure Cooker 200k anakwambia Nikienda kariakoo mpk 100k napata...
Haya Mteja Shukran, PRESSURE COOKER ya 100k hiyo umeiona Mkuu.
Hapo bado kula vifuniko
Hii ni ile ya kutumia umeme. Inapika kila kitu.pressure cooker unapikia wali? Alafu
Mbona pressure cooker tunasugua viziri tu na steel wool au mimi ndio siijui?
Still wire hizo unazotumia. Ndo zinaleta weusi. Acha kutumia wire. Hakuna maajabu hapoPressure cooker yangu naiosha sana ila bado inakuwa kama inatoa kutu na maji yanabadilika rangi kuwa kama meusi hata wali unabadilika rangi..
Nimeosha sana na Steel wire
Ila bado nitumie njia gani? Nisije kuwa nakula sumu bila kujua
Ushauri mzuri sanaKosa hukupaswa kuisugua Kwa steel wire!Hukushaisugua tu umeiharibu na ndio chanzo Cha kutoa hizo kitu!Badilisha sufuria klla ndani kama unaweza pata
Ndio nataka kuchukua sufuria ingineStill wire hizo unazotumia. Ndo zinaleta weusi. Acha kutumia wire. Hakuna maajabu hapo
Ok asante mkuuHii ni ile ya kutumia umeme. Inapika kila kitu.
Nakubali sanaAcha mara moja kuitumia hiyo cooker,
Afya yako ina thamani kuliko kitu chochote kile,
Kama hela zipo nunua nyingine ili usije ukatumia hela kujiuguza,
Narudia tena,Afya yako ndio mtaji wako wa maisha,hela zinatafutwa tu ila afya yako ni muhimu sana.
Mimi nilidhani zile tunazopikoa maharage😀Ok asante mkuu
MatatuTumia mafiga, uhakika 🙏
Ongezea na "mada closed''Hapa ushauri niliopata natakiwa kwenda kwa watu ambao wanatengeneza sufuria na vipimo vyangu ili wanitengenezee sufuria jipya full stop
Mi yangu nilinunua laki2 na nusu, huu ni mwaka wa 4 sijaona tatizo lolote. Kanunua model hiziNimenunua 100k mkuu
Umeiharibu kwa kuoshea steelwire, umekwangua utando ulio juu ya bati na sasa bati lipo nje hivyo linasababisha kushika kutu. Usitumie steelwire kusugua ndani ya sufuria kwani pia hubakiza chembechembe za waya ambazo ni hatari kwa afya yako.Pressure cooker yangu naiosha sana ila bado inakuwa kama inatoa kutu na maji yanabadilika rangi kuwa kama meusi hata wali unabadilika rangi..
Nimeosha sana na Steel wire
Ila bado nitumie njia gani? Nisije kuwa nakula sumu bila kujua
Hapo nifanye Nini mkuu Nina wazo wa kuliuza kabisaUmeiharibu kwa kuoshea steelwire, umekwangua utando ulio juu ya bati na sasa bati lipo nje hivyo linasababisha kushika kutu. Usitumie steelwire kusugua ndani ya sufuria kwani pia hubakiza chembechembe za waya ambazo ni hatari kwa afya yako.
Ni hatari unakula kutu hapo.Pressure cooker yangu naiosha sana ila bado inakuwa kama inatoa kutu na maji yanabadilika rangi kuwa kama meusi hata wali unabadilika rangi..
Nimeosha sana na Steel wire
Ila bado nitumie njia gani? Nisije kuwa nakula sumu bila kujua