Pressure ya macho ndio nini ?

Ni kweli Eve, kuna watu wataenda Hospital kupima wakishapewa majibu wanaondoka bila kumuuliza dokta maswali kadhaa kuhusiana na ugonjwa wake, afu ndio wanakuja huku mbio kuuliza wakati katoka kwa dr, hawajielewi hao
Labda waje tu kuongeza uelewa zaidi, ila kutoka kwa doctor bila kujua tatizo, then uanze kuuliza uliza kwangu ni ajabu.
 
Macho ni neema kubwa sana miongoni mwa neema tulizopewa na muumba, sasa ukipata majaribu katika neema hii inakuwa kadhia kubwa sana, lakini wanapopatikana washauri bora kama mkuu Theriogenology hapo kidogo matumaini hurejea.
Mkuu ubarikiwe sana sana.
 
Dada, ni kweli lakini hebu fikiria baadhi ya madoctor saa nyingine ni kwa ubize walonao au kiburi na jeuri zao mgonjwa anaweza kuuliza lakini asijibiwe, akaachwa tu hivi bila kujua chanzo cha tatizo lake, tuchukue hii au mambo mengine ya kibin adam ndiyo yamemsukuma kuja kuuliza hapa.
Asubuhi njema.
 
Yaan bila shaka ni health personnel
 
Doctor wew km ckosei
 
Eeeenh huyu sasa ndo wewe mwenyewe nayekufahamu...nimekuelewa kwa ufafanuzi.
 
Kwa kifupi;- Pressure ya macho ni moja ya magonjwa ya macho inayosababisha upofu... Kitaalam inaitwa GLAUCOMA lkn kiswahili chake chepesi ni shinikizo la jicho! Ugonjwa huu huathiri seli za macho zinahusiana na kuona na kusababisha upofu. Seli hizi huaribika kutokana na mgandamizo ndani ya jicho inayosababishwa na maji ya kuingia na kutoka baada ya njia yake kufunga!
 
Mkuu sasa hiyo operation ikifanyika kuna uwezo wa kupona kabisa.?
 
Ni kwer bro
 
MKUU NI DAWA ZIPI NZURI KUPUNGUZA MAJI NDANI YA JICHO?
 
Ndio unapona kabisa mkuu

Mkuu, hivi dalili kuu kabisa na za awali ni zipi kiongozi...?

Na pia, ni vitu gani vya kuepuka ili kujikinga na ugonjwa huu wa presha ya macho kiongozi...?

Tunaomba utusaidie kwa dalili na vitu vya kuepuka ili kujizuia kuathirika na hii presha ya macho mkuu.

Thanks a lot.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…