Pressure ya macho ndio nini ?

Pressure ya macho ndio nini ?

Ni kweli Eve, kuna watu wataenda Hospital kupima wakishapewa majibu wanaondoka bila kumuuliza dokta maswali kadhaa kuhusiana na ugonjwa wake, afu ndio wanakuja huku mbio kuuliza wakati katoka kwa dr, hawajielewi hao
Labda waje tu kuongeza uelewa zaidi, ila kutoka kwa doctor bila kujua tatizo, then uanze kuuliza uliza kwangu ni ajabu.
 
Mkuu kuna sababu nyingi tu kma vile;
  • Mishipa inayohusika kusambaza damu katika maeneo ya juu ya sclera kuziba
  • Hydrophthalmos (mboni ya jicho kuwa kubwa kutokana na kuvutika kwa tunics)
  • Kudhoofika kwa optic disc na retina
  • Kudhoofika kwa Iris ya jicho
Hizo ni baadhi za sababu mkuu.....
Macho ni neema kubwa sana miongoni mwa neema tulizopewa na muumba, sasa ukipata majaribu katika neema hii inakuwa kadhia kubwa sana, lakini wanapopatikana washauri bora kama mkuu Theriogenology hapo kidogo matumaini hurejea.
Mkuu ubarikiwe sana sana.
 
Wala sijateleza nadhani kuongea na kuelewa ni vitu viwili tofauti....
Nimesona nimeelewa rafiki ake kaenda kupimwa kakutwa na presha ya macho, kaondoka hajui presha ya macho ni nini ndo kaja kumuuliza jamaa, kwangu mie ni ajabu!!! Umepima, umeambiwa tatizo kwanini usiulize ujue kwa kina?
Labda kama mleta thread tu kaamua achomekee rafiki ila mwenyewe ametaka kujua presha ya macho ni nini .

Haina tofauti na page moja ya instagram, inahusu mambo ya uzazi, mtu anapost Dr kasema naumwa hiki naomba niulizie kwa followers wako huo ndo ugonjwa gani, serious????

Tunatofautiana...
Dada, ni kweli lakini hebu fikiria baadhi ya madoctor saa nyingine ni kwa ubize walonao au kiburi na jeuri zao mgonjwa anaweza kuuliza lakini asijibiwe, akaachwa tu hivi bila kujua chanzo cha tatizo lake, tuchukue hii au mambo mengine ya kibin adam ndiyo yamemsukuma kuja kuuliza hapa.
Asubuhi njema.
 
Hiyo ni Glaucoma sio ugonjwa husababishwa na muunganiko wa condition mbalimbali ambazo hupelekea kuongezeka kwa pressure ndani ya jicho na hivyo kupelekea kutokea kwa Glaucoma....

Kwa kawaida jicho huwa na presha yake maalumu ambayo hupelekea kufanya kazi, Hivyo basi kuongezeka kwa presha katika jicho huathiri mfumo mzima wa uonaji kwani baadhi ya maeneo ya jicho kama Iris... ciliary body... anterior and posterior chamber huwaaribiwa....

Condition hii hupimwa kitaalamu na njia mbalimabali kama vile Tonometry ambayo yaweza kuwa
Schiotz tonometry au Digital tonometry ambayo hubaini tatizo mfano sehemu za jicho zikiwa ngumu kama tunda la apple bhasi humaanisha mtu ana Glaucoma na sehemu zikiwa laini kama godoro bhasi humaanisha mtu hana Glaucoma...

Tatizo laweza kutibiwa kwa dawa zifuatazo iwapo hali ya jicho huridhisha;

  • Diuretics kama vile furasimide kupunguza maji katika jicho
  • Na dawa kama vile Mannitol, glycerol, urea, Sorbital, ethyl alcohol and dextrose zaweza tumika pia

Na kama tatizo ni kubwa sana bhasi mgonjwa atashauriwa kutolewa jicho kwa operation (Eye enucleation)
Yaan bila shaka ni health personnel
 
Mkuu kuna sababu nyingi tu kma vile;
  • Mishipa inayohusika kusambaza damu katika maeneo ya juu ya sclera kuziba
  • Hydrophthalmos (mboni ya jicho kuwa kubwa kutokana na kuvutika kwa tunics)
  • Kudhoofika kwa optic disc na retina
  • Kudhoofika kwa Iris ya jicho
Hizo ni baadhi za sababu mkuu.....
Doctor wew km ckosei
 
Wala sijateleza nadhani kuongea na kuelewa ni vitu viwili tofauti....
Nimesona nimeelewa rafiki ake kaenda kupimwa kakutwa na presha ya macho, kaondoka hajui presha ya macho ni nini ndo kaja kumuuliza jamaa, kwangu mie ni ajabu!!! Umepima, umeambiwa tatizo kwanini usiulize ujue kwa kina?
Labda kama mleta thread tu kaamua achomekee rafiki ila mwenyewe ametaka kujua presha ya macho ni nini .

Haina tofauti na page moja ya instagram, inahusu mambo ya uzazi, mtu anapost Dr kasema naumwa hiki naomba niulizie kwa followers wako huo ndo ugonjwa gani, serious????

Tunatofautiana...
Eeeenh huyu sasa ndo wewe mwenyewe nayekufahamu...nimekuelewa kwa ufafanuzi.
 
Kwa kifupi;- Pressure ya macho ni moja ya magonjwa ya macho inayosababisha upofu... Kitaalam inaitwa GLAUCOMA lkn kiswahili chake chepesi ni shinikizo la jicho! Ugonjwa huu huathiri seli za macho zinahusiana na kuona na kusababisha upofu. Seli hizi huaribika kutokana na mgandamizo ndani ya jicho inayosababishwa na maji ya kuingia na kutoka baada ya njia yake kufunga!
 
Mkuu kuna sababu nyingi tu kma vile;
  • Mishipa inayohusika kusambaza damu katika maeneo ya juu ya sclera kuziba
  • Hydrophthalmos (mboni ya jicho kuwa kubwa kutokana na kuvutika kwa tunics)
  • Kudhoofika kwa optic disc na retina
  • Kudhoofika kwa Iris ya jicho
Hizo ni baadhi za sababu mkuu.....
Mkuu sasa hiyo operation ikifanyika kuna uwezo wa kupona kabisa.?
 
Hiyo ni Glaucoma sio ugonjwa husababishwa na muunganiko wa condition mbalimbali ambazo hupelekea kuongezeka kwa pressure ndani ya jicho na hivyo kupelekea kutokea kwa Glaucoma....

Kwa kawaida jicho huwa na presha yake maalumu ambayo hupelekea kufanya kazi, Hivyo basi kuongezeka kwa presha katika jicho huathiri mfumo mzima wa uonaji kwani baadhi ya maeneo ya jicho kama Iris... ciliary body... anterior and posterior chamber huwaaribiwa....

Condition hii hupimwa kitaalamu na njia mbalimabali kama vile Tonometry ambayo yaweza kuwa
Schiotz tonometry au Digital tonometry ambayo hubaini tatizo mfano sehemu za jicho zikiwa ngumu kama tunda la apple bhasi humaanisha mtu ana Glaucoma na sehemu zikiwa laini kama godoro bhasi humaanisha mtu hana Glaucoma...

Tatizo laweza kutibiwa kwa dawa zifuatazo iwapo hali ya jicho huridhisha;

  • Diuretics kama vile furasimide kupunguza maji katika jicho
  • Na dawa kama vile Mannitol, glycerol, urea, Sorbital, ethyl alcohol and dextrose zaweza tumika pia

Na kama tatizo ni kubwa sana bhasi mgonjwa atashauriwa kutolewa jicho kwa operation (Eye enucleation)
Ni kwer bro
 
MKUU NI DAWA ZIPI NZURI KUPUNGUZA MAJI NDANI YA JICHO?
 
Ndio unapona kabisa mkuu

Mkuu, hivi dalili kuu kabisa na za awali ni zipi kiongozi...?

Na pia, ni vitu gani vya kuepuka ili kujikinga na ugonjwa huu wa presha ya macho kiongozi...?

Tunaomba utusaidie kwa dalili na vitu vya kuepuka ili kujizuia kuathirika na hii presha ya macho mkuu.

Thanks a lot.
 
Back
Top Bottom