Hiyo ni
Glaucoma sio ugonjwa husababishwa na
muunganiko wa condition mbalimbali ambazo hupelekea kuongezeka kwa pressure ndani ya jicho na hivyo kupelekea kutokea kwa Glaucoma....
Kwa kawaida jicho huwa na
presha yake maalumu ambayo hupelekea kufanya kazi, Hivyo basi kuongezeka kwa presha katika jicho huathiri mfumo mzima wa uonaji kwani baadhi ya maeneo ya jicho kama
Iris... ciliary body... anterior and posterior chamber huwaaribiwa....
Condition hii hupimwa kitaalamu na njia mbalimabali kama vile
Tonometry ambayo yaweza kuwa
Schiotz tonometry au Digital tonometry ambayo hubaini tatizo mfano sehemu za jicho zikiwa ngumu kama tunda la apple bhasi humaanisha mtu ana Glaucoma na sehemu zikiwa laini kama godoro bhasi humaanisha mtu hana Glaucoma...
Tatizo laweza kutibiwa kwa dawa zifuatazo iwapo hali ya jicho huridhisha;
- Diuretics kama vile furasimide kupunguza maji katika jicho
- Na dawa kama vile Mannitol, glycerol, urea, Sorbital, ethyl alcohol and dextrose zaweza tumika pia
Na kama tatizo ni kubwa sana bhasi mgonjwa atashauriwa kutolewa jicho kwa operation (Eye enucleation)