vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,624
mwez wa tatu bila shaka....Uchaguzi lini Zanzibar wakuu?
Tafuta mwingine asee siyo preta!Habari wakuu,
Mimi ni mgeni humu naomba knena. . Sorry nimesahau U hapo kwenye knena. . . Ilitakiwa kuwa kunena, yaani kuongea....
Naomba nitumie fursa hii adhwiim na jukwaa lenu kumtongoza binti mrembo aitwaye Preta ...
Maana pm kwake zipo nyingi kiasi hatapay attention kwangu...Naomba wengine muwe watazamaji ispokuwa kwa anayejijua mtaalam wa kutongoza namruhusu anisaidie...
Preta my love, naomba uwe serious apa uache yale majibu yako yakiboya...
Please, njoo mpnz
Uchaguzi lini Zanzibar wakuu?
sifahamu ngoja waje wajuzi watujuzeUchaguzi lini Zanzibar wakuu?
AAAAH WAPI HASHINDI KESHACHAKACHULIWAmwez wa tatu bila shaka....
hiv maalim atashinda tena kwa mara ya pili?
Nimemzuia. sitaki upuuziWapi preta
😛Nimemzuia. sitaki upuuzi
Yupo ShigambaWapi preta