Preta njoo nikutongoze, wengine tulieni mjifunze

vampire_hunter007

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
1,034
Reaction score
2,624
Habari wakuu,

Mimi ni mgeni humu naomba knena. . Sorry nimesahau U hapo kwenye knena. . . Ilitakiwa kuwa kunena, yaani kuongea....

Naomba nitumie fursa hii adhwiim na jukwaa lenu kumtongoza binti mrembo aitwaye Preta ...

Maana pm kwake zipo nyingi kiasi hatapay attention kwangu...Naomba wengine muwe watazamaji ispokuwa kwa anayejijua mtaalam wa kutongoza namruhusu anisaidie...

Preta my love, naomba uwe serious apa uache yale majibu yako yakiboya...

Please, njoo mpnz
 
Tafuta mwingine asee siyo preta!
 
ila hili jukwaa kiboko yake, mada imetupiliwa mbali kidizaini
 
Kama huyo hayupo endelea na mwanamke yoyote anayepitapita hapa...
 
Back
Top Bottom