Preta njoo nikutongoze, wengine tulieni mjifunze


Hambalulu ni kitu kitamu kinachokaaga katikati ya miguu miwili. . . Nswalu ni mboga hiyo ya kwetu taboraa
 

Dah......aisee......kama nahisi kukubali vile.......
 
Dah......aisee......kama nahisi kukubali vile.......
Kubali tu hakuna namna jamaa ameandaa haya mashairi mda mrefu sana. Na unaweza usiyapate jama haya maisha yako yote aisee.

Duc in Altum
 
Preta nijibu pm yangu sim yako haipo hewani kwenye airtel money yako nimekutumia Million 7 kwaajili ya dinner ya kesho!! ooh sorry nimekumbuka ulinitumia email uliniambia kile ki Benz kipya kina slow pancha kipaki kuna ki Rolls Royce new model nimekiagiza Marekani moja kwa moja! Halafu weekend hii nadhani tutakuwa Dubai kwa ya matembezi!!
 
Sherehe imevamiwa na Ngedere.

Duc in Altum
 
Duh! Kuna watu wanapenda kudandia!! Baada ya kuona bro Vampire anakaribia kuscore mazombi yanajileta hapa!!
Vamp keep goin on!!
 
hii kweli jamii
huku kiboko...
 
preta naitwa rugebalila ni mhaya kutoka kwetu kule kwa matajir kagera nina gar langu la v8 nzur sana natembelea full tank ikipungua lita tano naongez

kila nikionana na trafik njian na hajanisimamisha nageuza gar kumuhonga lak maana namuona labda alikuwa na mawazo nilipokuwa napita namiliki vitu ving sana na ninajuana na wabunge weng sana naomba unipe nafas kwenye moyo wako kwenda marekani itakuwa ni kama kichaa kwenda milembe
 
Ngoja kwanza mkuu nipo nae Pm atakujibu baadae au mwezi wa sita Ila sidhani kama atakukubalia!!
 


Haya mashairi ngoja nikayatumie mahali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…