EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,099
- 25,347
Kama wewe Mkuu, maana naona unajipitisha....Kama huyo hayupo endelea na mwanamke yoyote anayepitapita hapa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wewe Mkuu, maana naona unajipitisha....Kama huyo hayupo endelea na mwanamke yoyote anayepitapita hapa...
Hahaaaaa...... ama kweli wewe ndo Jambazi. lol...Preta nijibu pm yangu sim yako haipo hewani kwenye airtel money yako nimekutumia Million 7 kwaajili ya dinner ya kesho!! ooh sorry nimekumbuka ulinitumia email uliniambia kile ki Benz kipya kina slow pancha kipaki kuna ki Rolls Royce new model nimekiagiza Marekani moja kwa moja! Halafu weekend hii nadhani tutakuwa Dubai kwa ya matembezi!!
Kujituma kwa mke wa mtu, hilo wazolo wallah ni batiliMapenzi ni kujituma, si uonewe huruma
Wewe hata si yatima, mali nyingi umechuma
Tochi yako naizima, gizani mpaka kiama
Huruma ni kwa walemavu na wasiojiweza, sio kwenye mahaba
Tengeru ni karibu, upweke katu hutaona
Njoo kwangu unitibu, maumivu nitapona
Tafanya taratibu, gusa kila kona
Preta achana na Vimpire_hunter, jina lake na avatar vinatisha.
Sooth maanaye mkweli, mi jina langu thabiti
Ninayo tamu asali, na kuna pipi kijiti
Achana nae wa mbali, ni kigumu kizingiti
Nitafute Tengeru Sokoni, siku ya mnada
Sina hata benzi, naamini sio kigezo
Pata na la dhati penzi, natilia sana mkazo
Hao sugu kwa uzinzi, kwao huo ndio mchezo
Preta, we will meet somewhere, someday in Arusha-I hope!
ha ha ha...Unakwenda kuyatumia wapi mume wangu?
Unakwenda kuyatumia wapi mume wangu?
PakaJimmy... I learned something new about you, brother!. Kukuchokonoa wewe huko unakojificha ni kuanzisha thread ya kumsema Preta!. Unaibuka mara moja... Happy new year bana!. Hivi huyu Preta ndo huyo kwenye hako ka picha?.Daaaahhhh....
We jamaa nimekukubali aseee....
Wewe hakyamama uko serious kabisa, nimegundua hutanii..
Labda nikuulize swali...Hambalulu ninini?....na Nswalu ninini?..Ni hayo tu, ukinijibu nahamia upande wako kumsaundisha Preta!!😀😀😀
siku nyingine uangalie profile kabla ya kuanza kutukana!Kama wewe Mkuu, maana naona unajipitisha....
Asante asantehapa mkuu nahisi ulitaka kuandika injini.
Afu preta ni dume tena fundi magari, nenda kwenye uzi wa magari uta prove hili mkuuTaratibu mkuu! Avatar Nyingi za kike Ni madume!
hii ngoja nijaribu kwa beki tatu, baadae...Achana nao my love,
Sasa Preta ujue mi nakuonaga sku nyingi tu humu,
Nakuzimia balaa, huwezi kushinda njaa, njoo nkupe chapaa, uwaringishie kitaa
Jina lako ni tam, mpaka napata ham, ya kukuomba utam, mpk nikutoe dam
(hapo kwenye dam natania tu)
Nikubali uwe wangu, uwe mwandani wangu, mtamu kama changu, njoo uchezee rungu
Nipe hambalulu, isiwe inaua kama ya lulu, nikujengee hekalu, ule ugali na nswalu
Pretaaaaa oooooh pretaaaaa nipe hambaluluuuu
Preta ooooh Pretaaa nihurumieeeee
hii kweli sherehe imevamiwa na ngedere!!preta naitwa rugebalila ni mhaya kutoka kwetu kule kwa matajir kagera nina gar langu la v8 nzur sana natembelea full tank ikipungua lita tano naongez
kila nikionana na trafik njian na hajanisimamisha nageuza gar kumuhonga lak maana namuona labda alikuwa na mawazo nilipokuwa napita namiliki vitu ving sana na ninajuana na wabunge weng sana naomba unipe nafas kwenye moyo wako kwenda marekani itakuwa ni kama kichaa kwenda milembe
Nasikia zenji moto unawaka
Mkuu Yegomasika
Uwiii! Mbona wagombea mnaongezeka kwa kasi wakati Lubuva ameshatangaza majina rasmi ya wagombea?Kujituma kwa mke wa mtu, hilo wazolo wallah ni batili
Kamwe ndugu usithubutu, kama muungwana nia yako badili
Umuwache mke wa mtu, mimi moto ndiye mume halali,
Preta wangu mahamumu, Achana na hawa walowezi.
Mpenzi Preta chunga sana, usijentupa kisa hawara,
Hao ni walaghai sana, katu haiwaishi mikwara,
Kwa hadaa hodari sana, angalia usije pata hasara,
Preta wangu mahamumu, Achana na hawa walowezi,
Preta wewe ndo wangu malkia, hata King'asti anajua hilo,
Watu8 mtani chonde shuhudia, pia mod Mexen Melo,
Hatukuanza kwa kuotea, kitambo tumelianza jambo,
Preta Wangu mahamumu, Achana na hawa walowezi.
Preta wewe ni kichuna wangu, wa milele na hata enzi,
Wewe ni mwandani wangu, chonde usigawe langu penzi,
Umekuwa mboni yangu, yadharau yao mabenzi,
Preta wangu mahamumu, Achana na hawa walowezi.
Kujituma kwa mke wa mtu, hilo wazolo wallah ni batili