Mkuu nisaidie hapa, Kwenye Spider man No way home Ned aliwa teleport Peter 1 and 2 kutoka kwenye Dunia zao but sikuona Dr Strange mwenyewe akicross multiverse kwa kutumia teleportation kwenye MOM?Usijali. Anytime.
Ser Criston Cole is always happy to comply
Hapo hua inawachanganya wengi tu.Mkuu nisaidie hapa, Kwenye Spider man No way home Ned aliwa teleport Peter 1 and 2 kutoka kwenye Dunia zao but sikuona Dr Strange mwenyewe akicross multiverse kwa kutumia teleportation kwenye MOM?
Pamoja mkuuHapo hua inawachanganya wengi tu.
Kweny Doctor Strange 2016 wakati The Ancient One anampa Stephen Sring Ring kwa mara ya kwanza alimwambia kabisa "The sring ring will help you to travel across the multiverse" and of course uliona kwenye Endgame Stephen alitumia pia sring ring kuleta watu kutoka sehemu mbalimbali kuja kupambana na Thanos.
So wali sasa kwanini asitumie ring yake kutravel kwenye MOM? Well, jibu ni kwamba steve anategemea Ring ndio asafiri ila America Chavez hahitaji kutumia ring kusafiri across the multiverse coz ndio natural power yake! Kumbuka pia steve hakusafiri kwenye multiverse kwa kupenda bali tu ni ilitokea bahati mbaya Chávez akajikuta kaactivate nguvu zake kumbuka "Fear" ndio ilikua ina unlock nguvu za chavez ndio maana walijikuta wameenda kwenye multiverse nyiingi at the same time maana ilikua uncontrollable.
Kama ingekua ni doctor strange katumia ring basi angeenda exactly kwenye universe anayotaka.
Nimekujibu??
Kuna picha moja wakiwa pamoja watoto sijui ni halisi au lah. Chris hua namshangaa sana sometimes hua nahisi maybe ni chakula ya watu maana simuonagi na wanawake. Huyu demu yupo nae toka kitambo ila alimpotezea hadi Ryan Reynolds akamuoa, kajipigia kamchoka akamuacha. Chris tu yupo anamuangalia!
Duu basi balaaKuna picha moja wakiwa pamoja watoto sijui ni halisi au lah. Chris hua namshangaa sana sometimes hua nahisi maybe ni chakula ya watu maana simuonagi na wanawake. Huyu demu yupo nae toka kitambo ila alimpotezea hadi Ryan Reynolds akamuoa, kajipigia kamchoka akamuacha. Chris tu yupo anamuangalia!
Kuna picha moja alipost wakiwa pamoja akaweka caption "We look like couple"
Scarlett akajibu "A couple of best friend" sijui ana shida gani alishawahi kumtongoza Selena Gomez akamkataa kaenda kwa Justin Bieber. Wanaume HB sana hua siwaamini kivile
Aaaah shukrani mkuuHaijatoka mpaka February 1
Walijua ashakua addicted na drugs...Ilinichukua muda sana ku move on na kifo cha huyu jamaa. Nikiangalia picha zake za mwishoni alivyokonda na wazungu walivyoanza kumnanga bila kujua he was dying inside. Aisee
Nishaicheki ndioDejane ushaichek au unasubiri Feb 1??
Ya lini hii tenaKesho ndio kesho! Muvi inatoka andaa tu bando lako uipakue.
Mimi nilishindwa kuitaza kutokana na mkoa niliokuwepo hapakua na Cinema!
Naisubiri kesho niidakeView attachment 2501589
Ishatoka mbona.Kesho ndio kesho! Muvi inatoka andaa tu bando lako uipakue.
Mimi nilishindwa kuitaza kutokana na mkoa niliokuwepo hapakua na Cinema!
Naisubiri kesho niidakeView attachment 2501589
Yani wameiweka kwenye site zetu hizi mfano Netnaija amaMkuu ishatoka aisee..Unaweza kuipakua sasa
Ingia hapa site ya Nkiri...Mb 500Yani wameiweka kwenye site zetu hizi mfano Netnaija ama