Preview ya Black Panther Wakanda Forever 2022

Usijali. Anytime.
Ser Criston Cole is always happy to comply
Mkuu nisaidie hapa, Kwenye Spider man No way home Ned aliwa teleport Peter 1 and 2 kutoka kwenye Dunia zao but sikuona Dr Strange mwenyewe akicross multiverse kwa kutumia teleportation kwenye MOM?
 
Hapo hua inawachanganya wengi tu.
Kweny Doctor Strange 2016 wakati The Ancient One anampa Stephen Sring Ring kwa mara ya kwanza alimwambia kabisa "The sring ring will help you to travel across the multiverse" and of course uliona kwenye Endgame Stephen alitumia pia sring ring kuleta watu kutoka sehemu mbalimbali kuja kupambana na Thanos.

So wali sasa kwanini asitumie ring yake kutravel kwenye MOM? Well, jibu ni kwamba steve anategemea Ring ndio asafiri ila America Chavez hahitaji kutumia ring kusafiri across the multiverse coz ndio natural power yake! Kumbuka pia steve hakusafiri kwenye multiverse kwa kupenda bali tu ni ilitokea bahati mbaya Chávez akajikuta kaactivate nguvu zake kumbuka "Fear" ndio ilikua ina unlock nguvu za chavez ndio maana walijikuta wameenda kwenye multiverse nyiingi at the same time maana ilikua uncontrollable.

Kama ingekua ni doctor strange katumia ring basi angeenda exactly kwenye universe anayotaka.
Nimekujibu??
 
Pamoja mkuu
 
Criston Cole naomba kuelewa hawa ni wapenzi inaonekana wametoka mbali sana
FB_IMG_16722432367172893.jpg
 
Criston Cole naomba kuelewa hawa ni wapenzi inaonekana wametoka mbali sana
View attachment 2461209
Kuna picha moja wakiwa pamoja watoto sijui ni halisi au lah. Chris hua namshangaa sana sometimes hua nahisi maybe ni chakula ya watu maana simuonagi na wanawake. Huyu demu yupo nae toka kitambo ila alimpotezea hadi Ryan Reynolds akamuoa, kajipigia kamchoka akamuacha. Chris tu yupo anamuangalia!

Kuna picha moja alipost wakiwa pamoja akaweka caption "We look like couple"
Scarlett akajibu "A couple of best friend" sijui ana shida gani alishawahi kumtongoza Selena Gomez akamkataa kaenda kwa Justin Bieber. Wanaume HB sana hua siwaamini kivile
 
Duu basi balaa
 
Ilinichukua muda sana ku move on na kifo cha huyu jamaa. Nikiangalia picha zake za mwishoni alivyokonda na wazungu walivyoanza kumnanga bila kujua he was dying inside. Aisee
Walijua ashakua addicted na drugs...
Nilikua namwelewa sana jamaa basi tu😟
FB_IMG_16744693808331813.jpg
 
Nishaicheki ndio
Kesho ndio kesho! Muvi inatoka andaa tu bando lako uipakue.
Mimi nilishindwa kuitaza kutokana na mkoa niliokuwepo hapakua na Cinema!
Naisubiri kesho niidake
FB_IMG_16744693606593556.jpg
 
Yani tangu Wakanda itoke wewe ndo mtu wa kwanza kuliongelea hilo neno ; kuna mtu alimuuliza nchi ya wakulima ina kipi cha maana itakochoichangia dunia??

Aisee hili swali lilinichefua sanaa mnooo
Ushaitazama??
 
Back
Top Bottom