Preview ya Black Panther Wakanda Forever 2022

Nilinotice sana tena aliuliza Mzungu mmoja kwa kejeli...
Na halikujibiwa movie ikaisha.. nikasema em nitafute mijadala jf Holla! Quora Holla aisee nikishangaa sana
Kwa maneno sensitive vile nisikute mjadala nilishangaa mnoo
Mimi sijaiangalia ila nimekuwa nikiona reviews. Watu wameiona kama ina ubaguzi wa rangi kwamba white people wamepewa picha mbaya kwenye hiyo movie. Na kwamba kama white people ndio wangetoa movie ya hivo ingekuwa tofauti.
 
Historia nzuri na inafunza pia. Hongera mkuu.
 
Wanasemaje?
 
Mimi sijaiangalia ila nimekuwa nikiona reviews. Watu wameiona kama ina ubaguzi wa rangi kwamba white people wamepewa picha mbaya kwenye hiyo movie. Na kwamba kama white people ndio wangetoa movie ya hivo ingekuwa tofauti.
Picha gani mbaya wamepewa ambayo si halisi??
Maana context ya muvi inahusu Killmonger anataka atumie siraha walizonazo kufund vikundi vya waafrika wanao kandamizwa na wazungu(Oppressors). Ila Tchala alikua anapinga hilo

Je waafrika hawakandamizwi na kubaguliwa na wazungu??

Unajua kwamba ili hii muvi ya BP ionyeshwe kwenye kumbi za china ilibidi character weusi wote wafichwe rangi zao halisi. Sio tu kwenye hiii hata kwenye muvi ya Star Wars ilibidi wafiche sura ya John Boyagga. Coz hakuna mchina angeenda cinema kuangalia muvi ambayo lead character ni mweusi
 
Wachina ni washenzi na sio lazima waangalie movie zanamna hii. Maana ile kuficha tu rangi zao halisi inaonyesha hata studio husika inasupport ubaguzi kwa kiwango cha juu sana.
 
Sasa ange sema mapema si ma producer wangemuacha wachukue mtj mwengine acheze nafasi yake
 
Wachina ni washenzi na sio lazima waangalie movie zanamna hii. Maana ile kuficha tu rangi zao halisi inaonyesha hata studio husika inasupport ubaguzi kwa kiwango cha juu sana.
Hakuna sehemu kwenye historia ya ulimwengu race nyeusi ilikua oppressor kwa race zingine. Yaani mkuu wewe chunguza Theaterical Release Poster za Muvi kwenye mataifa mengine lazima yatofautiane na ya China hasa kama muvi ina character weusi.
 
Sasa ange sema mapema si ma producer wangemuacha wachukue mtj mwengine acheze nafasi yake
Wala wasingemuacha maana ingetegeneana na yeye mwenyewe angesemaje. Maybe wangemuaga kwa heshima na wasinge Recast mtu mwingine kama walivyofanya sasa
 
Princess Rhaenyra amekupiga chini now
Yaani nilikua nampwnda sana na nilikua tayari kukiuka viapo vyangi As member of Kings guard ilimradi nikae nae niinjoi penzi langu ila kanigeuka.
 
Aisee, unaniachaje kwenye hiyo list?[emoji1787]
View attachment 2401460
Mimi zamani nlikuwa mpenzi sana wa filamu za hawa super heroes sijui spiderman, Iron man, enzi za superman, sijui captain america nashangaa nilipoteza interest kwenye hizi movies ghafla tu.
Hiyo movie ya wakanda sijawahi itazama nilihisi kama wanaikuza tu sema itabidi niitafute niitazame huenda nimekosa kitu hapo.
Nmeanz hata fuatilia fast and furious maana nayo naona kama imepoteza ladha.
Mimi kwenye movies ukiachilia mbali story na action, napenda dialogues na dialogues nzuri mara nyingi nazipata kwenye ma movie yenye setting za kizamani kama GOT, house of the dragons, Spartacus, Troy.
Yani zile dialogues uwa naona kila mstari naweza kuufanya quote
 
Mimi sijaiangalia ila nimekuwa nikiona reviews. Watu wameiona kama ina ubaguzi wa rangi kwamba white people wamepewa picha mbaya kwenye hiyo movie. Na kwamba kama white people ndio wangetoa movie ya hivo ingekuwa tofauti.
Yani sio ubaguzi.
Ni kwamba watu weusi wamepewa Superiority ..kwamba mtu mweusi mnamtazama kwa jicho la udhaifu , badala yake kumbe ni mtu advanced
Hiko nadhani kimewakwaza wazungu, na kwa mantiki hio wakaona ndio ubaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…