Preview ya Black Panther Wakanda Forever 2022

Mimi nimemuinjoi Attuma na kile kilugha chake cha kimaya! Halafu unajua Attuma ni villain. Hapatani kabisa na Namor kwenye comics...Ni kama vile kaka yake na Arthur Curry (Aquaman) wasivyopatana.

Btw nilitamani concept ya kwanza ya Nomor ndio itumike. Ila hata hii depiction ya Maya sio mbaya.

PS. Hivi wewe sio DQ???

[Concept hii]
View attachment 2505073

Hapana me sio DQ[emoji16][emoji16][emoji16] ni mpenzi tu wa movie ila sio mchamgiaji sana huwa napita tu nasoma mawazo ya watu ila hii thread ilinivutia
 
Sorry nilidhani ninyeye maana ndio Mwanamke pekee anayejia mambo ya muvi muvi humu tunakua nae.
Btw unakaribishwa Kua unashiriki nasi/mi humu. I like movies esp MCU movies alot, Najua meeengi kuwahusu kama vile secretary wao😅.
Any time unataka kujua kitu fulani just give me a honk! Karibu tujumuike pamoja Chubbylady
 
Sorry nilidhani ninyeye maana ndio Mwanamke pekee anayejia mambo ya muvi muvi humu tunakua nae.
Btw unakaribishwa Kua unashiriki nasi/mi humu. I like movies esp MCU movies alot, Najua meeengi kuwahusu kama vile secretary wao[emoji28].
Any time unataka kujua kitu fulani just give me a honk! Karibu tujumuike pamoja Chubbylady

Thank You [mention]Da’vinci [/mention] hata mimi pia ni mpenzi wa MCU yan napenda character zao zote na nimeangalua takribam zote(japo sio zote)
 
Vipi 17 feb utaenda cinema??
 
Vipi 17 feb utaenda cinema??

aisee me bora nisubiri HD tuu cinema hapanifai[emoji23][emoji23] kwanza napenda movie yenye subtitle alafu kama sijaelewa sehemu nirudushe niangalie tena sasa afu napenda niangalie na mtu ninae mjua kuna hata kale kaumbea ka movie tuongee[emoji16][emoji174]
 
I can be that person wa kukuambia ambia kama hutajali. Natamani kweli kwenda with someone cinema
 
We're happy
i had never been in cinema[emoji2356][emoji2356]

FB_IMG_16787054012573557.jpg
 
aisee me bora nisubiri HD tuu cinema hapanifai[emoji23][emoji23] kwanza napenda movie yenye subtitle alafu kama sijaelewa sehemu nirudushe niangalie tena sasa afu napenda niangalie na mtu ninae mjua kuna hata kale kaumbea ka movie tuongee[emoji16][emoji174]
Hahahahahaha daaah

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Sijui ni ushamba umenijaa. Movie yoyote ambayo ni sci-fi au paranormal hua siiangalii, hata hii niliishia katikati nikaifuta kwenye pc. Movie ni uongo ila uongo wa hizi movie ni mkubwa mno, sipendi
 
Back
Top Bottom