Kajenga hospitals 70 (toka Uhuru hospitals za wilaya ni 67) Kajenga vituo vya afya zaidi ya 300 (toka Uhuru vituo vya afya ni 700) kaboresha huduma za hospitals zote kwa kuzipatia vifaa tiba vya kisasa na dawa upatikanaji ni zaidi ya 95%
Kipi kingine? Sababu tukitaja kuongeza idadi ya vijiji vilivyo na umeme kutoka 3k (2015 hadi 7k (2019), Nyerere Dam, kuondoa mgao wa umeme, barabara lami kila kona, maji, ndege, meli, elimu bure, etc mnasema ni maendeleo ya vitu sio watu
Sasa semeni mnataka afanyaje ili uone amefanya? Na mlivyo nyumbu mnasema hizo ni kodi zetu ni kazi yake ila bado mnalaamika hafanyi kitu!