Prezzo: Afrika Tungekuwa na Marais10 kama Magufuli huyu tungekuwa mbali sana”

Malaisi hawagawi ila Marais Wanagawa.
Language is all about communication than structure, if you have understood, what I said it is better to focus on content than unnecessary correction which is not hearth to topic. Au ndo umeishia hapo.
 
Nahisi jamaa ameongea kikubwa kaka.
Kama angekuwa anasahihisha angesema kuwa ni marais sio malais.
Ila nachoona mm amekusudia kuwa kuna marais ambao ndio viongozi stahiki na kuna malais ambao hao hawaakisi uongozi bora.
Language is all about communication than structure, if you have understood, what I said it is better to focus on content than unnecessary correction which is not hearth to topic. Au ndo umeishia hapo.
 
JPM ni mashine nyingine kabisa... He is a kind of transomative leader most of developing countries would need, hao walevi wengine wanamjua, *a trip to Chato unapewa Tausi mambo yanakaa sawa🙂
[emoji116] [emoji116]

Prezzo alipost video fupi katika mtandao wa kijamii wa Instagram ikimuonyesha Rais Magufuli akimsaidia Mama mmoja ambaye alishindwa kulipa pesa,alizokuwa anadaiwa katika Hospital ya taifa ya Muhimbili.

Loading...

Prezzo ameandika:-
 
So Afrika ili iendelee inahitaji marais wanaogawa fedha mtaani?
Aisee wamama wanaohitaji msaada kama huyo wa Muhimbili wapo mamilioni Tanzania, so kumgawia mmoja fedha sijui hata kuna effect gani overall
angetoa mfano wa kitu cha kipekee sana ambacho Magufuli anafanya na marais wote wa Afrika wameshindwa

In your Narrow thinking.
 
Hao wanaoshindwa kulipa pesa za matibabu wako mamilioni kweli wote waki foleni hapa ataweza kuwapa? Tena wengine ni kajiriwa wa serikali. Maana minimum wage kupewa yote saa nyingine hautoshi hata kumtibia member mmoja wa family
Ndio wapo wengi pia raisi awezi kusaidia wote .so ata kwa uyo mmoja aliemsadia ni vyema na kafanya vizuli
 
.. to be fair he is been evaluated for jst 3 - 4 years of action against drinkers whom have been there....
Kwa hiyo nyinyi wenye Magufuli mko mbali sana kupita Waafrika wenzenu wasio na Magufuli??????
 
👇 👇

Prezzo alipost video fupi katika mtandao wa kijamii wa Instagram ikimuonyesha Rais Magufuli akimsaidia Mama mmoja ambaye alishindwa kulipa pesa,alizokuwa anadaiwa katika Hospital ya taifa ya Muhimbili.

Loading...

Prezzo ameandika:-
Pre zoo ana akili fupi.

Kiongozi mzuri sio yule anayefanya drama km hizo.

Tunaangalia mambo gani ameyafanha yaka nuafaisha jamii
 
Bantugbro hata wewe unaabudu miungu-watu? ..na why are you disparaging U.K?
Em Tucheke kidogo tafadhali........ Disparaging a 'screwer' 😀
EGhOaB9XUAUAGht.jpeg
 
Pre zoo ana akili fupi.

Kiongozi mzuri sio yule anayefanya drama km hizo.

Tunaangalia mambo gani ameyafanha yaka nuafaisha jamii
Kajenga hospitals 70 (toka Uhuru hospitals za wilaya ni 67) Kajenga vituo vya afya zaidi ya 300 (toka Uhuru vituo vya afya ni 700) kaboresha huduma za hospitals zote kwa kuzipatia vifaa tiba vya kisasa na dawa upatikanaji ni zaidi ya 95%

Kipi kingine? Sababu tukitaja kuongeza idadi ya vijiji vilivyo na umeme kutoka 3k (2015 hadi 7k (2019), Nyerere Dam, kuondoa mgao wa umeme, barabara lami kila kona, maji, ndege, meli, elimu bure, etc mnasema ni maendeleo ya vitu sio watu

Sasa semeni mnataka afanyaje ili uone amefanya? Na mlivyo nyumbu mnasema hizo ni kodi zetu ni kazi yake ila bado mnalaamika hafanyi kitu!
 
Nonsense
 
Jamaa hawawezi kuelewa 😂😂😂 wao ni kupinga pinga tu.
 
Back
Top Bottom