Language is all about communication than structure, if you have understood, what I said it is better to focus on content than unnecessary correction which is not hearth to topic. Au ndo umeishia hapo.Malaisi hawagawi ila Marais Wanagawa.
Language is all about communication than structure, if you have understood, what I said it is better to focus on content than unnecessary correction which is not hearth to topic. Au ndo umeishia hapo.
Prezzo: Afrika Tungekuwa na Marais10 kama Magufuli huyu tungekuwa mbali sanaβ
So Afrika ili iendelee inahitaji marais wanaogawa fedha mtaani?
Aisee wamama wanaohitaji msaada kama huyo wa Muhimbili wapo mamilioni Tanzania, so kumgawia mmoja fedha sijui hata kuna effect gani overall
angetoa mfano wa kitu cha kipekee sana ambacho Magufuli anafanya na marais wote wa Afrika wameshindwa
Malaisi hawagawi ila Marais Wanagawa.
Ndio wapo wengi pia raisi awezi kusaidia wote .so ata kwa uyo mmoja aliemsadia ni vyema na kafanya vizuliHao wanaoshindwa kulipa pesa za matibabu wako mamilioni kweli wote waki foleni hapa ataweza kuwapa? Tena wengine ni kajiriwa wa serikali. Maana minimum wage kupewa yote saa nyingine hautoshi hata kumtibia member mmoja wa family
Kwa hiyo nyinyi wenye Magufuli mko mbali sana kupita Waafrika wenzenu wasio na Magufuli??????
Anachekesha mnoo πππImagine, Mtu hajui kusoma na kuandika ila anajitutumua kwenye Mambo yanayohitaji reasoning. [emoji2]
Pre zoo ana akili fupi.
Kajenga hospitals 70 (toka Uhuru hospitals za wilaya ni 67) Kajenga vituo vya afya zaidi ya 300 (toka Uhuru vituo vya afya ni 700) kaboresha huduma za hospitals zote kwa kuzipatia vifaa tiba vya kisasa na dawa upatikanaji ni zaidi ya 95%Pre zoo ana akili fupi.
Kiongozi mzuri sio yule anayefanya drama km hizo.
Tunaangalia mambo gani ameyafanha yaka nuafaisha jamii
NonsenseKajenga hospitals 70 (toka Uhuru hospitals za wilaya ni 67) Kajenga vituo vya afya zaidi ya 300 (toka Uhuru vituo vya afya ni 700) kaboresha huduma za hospitals zote kwa kuzipatia vifaa tiba vya kisasa na dawa upatikanaji ni zaidi ya 95%
Kipi kingine? Sababu tukitaja kuongeza idadi ya vijiji vilivyo na umeme kutoka 3k (2015 hadi 7k (2019), Nyerere Dam, kuondoa mgao wa umeme, barabara lami kila kona, maji, ndege, meli, elimu bure, etc mnasema ni maendeleo ya vitu sio watu
Sasa semeni mnataka afanyaje ili uone amefanya? Na mlivyo nyumbu mnasema hizo ni kodi zetu ni kazi yake ila bado mnalaamika hafanyi kitu!
It's none of your business wewe dili na looting UhuruNonsense
Jamaa hawawezi kuelewa πππ wao ni kupinga pinga tu.Kajenga hospitals 70 (toka Uhuru hospitals za wilaya ni 67) Kajenga vituo vya afya zaidi ya 300 (toka Uhuru vituo vya afya ni 700) kaboresha huduma za hospitals zote kwa kuzipatia vifaa tiba vya kisasa na dawa upatikanaji ni zaidi ya 95%
Kipi kingine? Sababu tukitaja kuongeza idadi ya vijiji vilivyo na umeme kutoka 3k (2015 hadi 7k (2019), Nyerere Dam, kuondoa mgao wa umeme, barabara lami kila kona, maji, ndege, meli, elimu bure, etc mnasema ni maendeleo ya vitu sio watu
Sasa semeni mnataka afanyaje ili uone amefanya? Na mlivyo nyumbu mnasema hizo ni kodi zetu ni kazi yake ila bado mnalaamika hafanyi kitu!