Prezzo: Afrika Tungekuwa na Marais10 kama Magufuli huyu tungekuwa mbali sana”

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
👇 👇

Prezzo alipost video fupi katika mtandao wa kijamii wa Instagram ikimuonyesha Rais Magufuli akimsaidia Mama mmoja ambaye alishindwa kulipa pesa,alizokuwa anadaiwa katika Hospital ya taifa ya Muhimbili.

Loading...

Prezzo ameandika:-

“Hii ilini-touch, Africa tungekuwa na viongozi kumi kama Muheshimiwa Magufuli kwakweli tungekuwa mbali sana badala ya kupata taabu saaaana. Mwenyezi Mungu azidi kubariki kazi ya mikono yako Your Excellency”
 
So Afrika ili iendelee inahitaji marais wanaogawa fedha mtaani?
Aisee wamama wanaohitaji msaada kama huyo wa Muhimbili wapo mamilioni Tanzania, so kumgawia mmoja fedha sijui hata kuna effect gani overall
angetoa mfano wa kitu cha kipekee sana ambacho Magufuli anafanya na marais wote wa Afrika wameshindwa
 
hivi hizi hela mzee baba anazogawa mtaani kama njugu anazipata wapi?
 
👇 👇

Prezzo alipost video fupi katika mtandao wa kijamii wa Instagram ikimuonyesha Rais Magufuli akimsaidia Mama mmoja ambaye alishindwa kulipa pesa,alizokuwa anadaiwa katika Hospital ya taifa ya Muhimbili.

Loading...

Prezzo ameandika:-
........NALETAAA AKSHENIIIIIIII.....
 
So Afrika ili iendelee inahitaji marais wanaogawa fedha mtaani?
Aisee wamama wanaohitaji msaada kama huyo wa Muhimbili wapo mamilioni Tanzania, so kumgawia mmoja fedha sijui hata kuna effect gani overall

hivi hizi hela mzee baba anazogawa mtaani kama njugu anazipata wapi?
Sasa hapo kuna ubaya gani? Watanzania hatulingani Vipato, rais wa nchi anaishi bure kwa kodi za wananchi wakati bado anamshahala na marupurupu ambayo yako kwa mujibu wa katiba, Hiyo ni sadaka Ametoa, acheni watu watumie matunda ya jasho, sio dhambi kuwa upinzani wake lakini ni vyema mkatumia logic Katika mambo mepesi mepesi
 
kampeni zishaanza october hiiii

viva magu vivaaaaaaa
 
[emoji116] [emoji116]

Prezzo alipost video fupi katika mtandao wa kijamii wa Instagram ikimuonyesha Rais Magufuli akimsaidia Mama mmoja ambaye alishindwa kulipa pesa,alizokuwa anadaiwa katika Hospital ya taifa ya Muhimbili.

Loading...

Prezzo ameandika:-
Hao wanaoshindwa kulipa pesa za matibabu wako mamilioni kweli wote waki foleni hapa ataweza kuwapa? Tena wengine ni kajiriwa wa serikali. Maana minimum wage kupewa yote saa nyingine hautoshi hata kumtibia member mmoja wa family
 
So Afrika ili iendelee inahitaji marais wanaogawa fedha mtaani?
Aisee wamama wanaohitaji msaada kama huyo wa Muhimbili wapo mamilioni Tanzania, so kumgawia mmoja fedha sijui hata kuna effect gani overall
angetoa mfano wa kitu cha kipekee sana ambacho Magufuli anafanya na marais wote wa Afrika wameshindwa
hater
 
hivi hizi hela mzee baba anazogawa mtaani kama njugu anazipata wapi?

unauliza serikali inatoa wap ela? umesoma topic ya government olevel ama shule hujaenda: mbna akiamua tu anakaa nazo kama moyo wake unavomtuma: sio lazma na sio sheria, Kwamba Yesu alivokua anafufua watu we uulize we kama nan kisheria unafufua ama?
 
So Afrika ili iendelee inahitaji marais wanaogawa fedha mtaani?
Aisee wamama wanaohitaji msaada kama huyo wa Muhimbili wapo mamilioni Tanzania, so kumgawia mmoja fedha sijui hata kuna effect gani overall
angetoa mfano wa kitu cha kipekee sana ambacho Magufuli anafanya na marais wote wa Afrika wameshindwa
Hivi malaisi wa wenzetu, wanagawa fedha kama wa kwetu.
 
Back
Top Bottom