1. Wanamuziki wengi, means sio WOTE na ndio maana hata wewe I guess umepata taabu kidogo kutafuta 30+ ambae bado ana-hit!Hahahahahahah!! Koffi olomide Ana miaka mingapi na bado anatoa hit
2. Mie sio shabiki wa DRC Music but tell me-- hivi kweli Koffi huyu ndo yule yule wa enzi zile anapambana na akina Inde moni?!