Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
But the guy will never shoot up like beforeWewe ni miongoni mwa wachache tulioliona hili.
Na Prezoo amefanikiwa lengo lake la kutaka watu wamzungumze na kupata attention...Entertainment ina sura nyingi. ..Kuna mwimbaji wa kizungu alivaaga gauni lililotengenezwa kwa nyama hii nayo ni staili ya kutafuta kuzUngumzwa .