Prezzo amdhalilisha mtangazaji wa KTN katika Mahojiano ya Live

Prezzo amdhalilisha mtangazaji wa KTN katika Mahojiano ya Live

Wewe ni miongoni mwa wachache tulioliona hili.

Na Prezoo amefanikiwa lengo lake la kutaka watu wamzungumze na kupata attention...Entertainment ina sura nyingi. ..Kuna mwimbaji wa kizungu alivaaga gauni lililotengenezwa kwa nyama hii nayo ni staili ya kutafuta kuzUngumzwa .
But the guy will never shoot up like before
 
Wewe ni miongoni mwa wachache tulioliona hili.

Na Prezoo amefanikiwa lengo lake la kutaka watu wamzungumze na kupata attention...Entertainment ina sura nyingi. ..Kuna mwimbaji wa kizungu alivaaga gauni lililotengenezwa kwa nyama hii nayo ni staili ya kutafuta kuzUngumzwa .
uploadfromtaptalk1452656353585.png
basi huko insta kila mda anatumia clip ya hiyo interview na bonge la caption...kwa kiasi flani hv ktn wanatakiwa wamshukuru prezzo coz video yao ya youtube views wanazidi ongezeka tu
 
Kwisha bahari yake asubr kubaki fuvu nayeye kama wenzake
 
Kwani kumpima oil ni udhalilishaji? Mm nilifikiri prezzo anakula mzingo live
Dada Alivyokuw anamchekea chekea huwezi jua nini kiliendelea baada ya kutoka hapo
 
Back
Top Bottom