Thubutu!! Eti entertainment stunt!!? Gari ishawaka ile tena driver kishaweka mguu kwa mafuta!!
Ni hivi, suala la drug abuse kwa nchi nyingi za Africa ni kama fashion hasa kwa watu wenye uwezo wa kumudu gharama za lazima za maisha matokeo yake wengi kati ya watu wanao hustle kimaisha wakifanikiwa kutoka tu basi they think they may find heaven in the powder! Wengine wanapopatwa na obstacles kidogo tu basi they turn to powder for comfort! !
Hili jambo wala sio zuri kabisaaaaaaa! ! This trending was at the edge once upon a time lakini sasa linavuka mipaka ipo siku tutakutana na shelf ya ngada kwa mini market kama Mexico!!
It is beyond sadness such talent going to waste!