Prigozhin asema hataki tena kupigana Ukraine, anakuja Afrika

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Waje tu mbona mgodi wa North Mara si tutawapa tu, wakurya kama wakurya.
 
Africa imegeuka soko zuri la askari wa kukodisha hasa kule Sahel (Mali) na Africa ya Kati.

Lini Africa itaweza kujisimamia yenyewe ?...
Inasikitisha sana,watu wanakodisha majeshi ili tu waendelee kukaa madarakani.Wale wanajeshi Mali wamenogewa na wala sidhani kama watarudisha madaraka kwa utawala wa kiraia tena.
 
Duuh,kumbe wajomba tayari wapo na wanakula mema kabisa
 
Eti ndipo useme Afrika tutakuja kuishi kwa amani 🙆🙆🙆😪😪
Uzuri wa Wagner hawana uzalendo na upande wowote na wala hawana huruma.Siku wanakuwa nawe na siku wanakusakama kama walivyofanya kwa Putin. Vile vile wakiingia kazini wanapigana kama majini.Mfumo wao huu ndio ulioipa ushindi Urusi kule Bakhmut na siku walipoondoka askari wa Ukraine walifurahi sana,
 
Nyinyi warusi wa Kigoma si mlisema Prigo anaenda Belarus ili awe karibu na Ukraine, nini kimebadilika ?
 
Nenda tu urusi baba huku kwetu hapana aisee huyu mwamba mziki wake sio wa kitoto
 
NAKAZIA,
kuna siku polisi WA Russia walifanya ukaguzi kwenye nyumba ya Wagner wakati alipotaka kumpindua Putin, wakakuta zaid ya Dollar M100+ na vipande vya Gold kama vyote

Wagner hafanyi kazi za njaa na ela anapokea kabla hajafanya kazi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…