Dkisaka
JF-Expert Member
- Aug 5, 2018
- 623
- 1,809
NAKAZIA,Unafikiri wanapigana bure?Wanalipwa.Na mara nyingi wanakuwa upande wa serikali inayotaka kubaki madarakani maisha yote. Wale marais wanaotaka kufia madarakani ndo wanawaita Wagner,wanawalipa pesa ndefu mno na wanawapa madini ya dhahabu, diamond na mengineyo bureee kabisa. Wapo Nchini Mali na Africa ya kati.
kuna siku polisi WA Russia walifanya ukaguzi kwenye nyumba ya Wagner wakati alipotaka kumpindua Putin, wakakuta zaid ya Dollar M100+ na vipande vya Gold kama vyote
Wagner hafanyi kazi za njaa na ela anapokea kabla hajafanya kazi