NAKAZIA,Unafikiri wanapigana bure?Wanalipwa.Na mara nyingi wanakuwa upande wa serikali inayotaka kubaki madarakani maisha yote. Wale marais wanaotaka kufia madarakani ndo wanawaita Wagner,wanawalipa pesa ndefu mno na wanawapa madini ya dhahabu, diamond na mengineyo bureee kabisa. Wapo Nchini Mali na Africa ya kati.
Tanzania si rahisi kuja maana hakuna mtu anaetishia uongozi wa Samia.Mfano kule Africa ya kati,Wagner wamemsaidia sana Rais aliyepo madarakani otherwise angeshapinduliwa muda mrefu tu.Na wiki ijayo tarehe 30 anabadili katiba ili aendelee kutawala milele.Wananchi wanapiga kura ya ndiyo ili kuruhusu katiba mpya ili Touadera agombee kipindi cha mhula wa tatu na milele.Waasi walishindwa kumpindua sababu Wagner wanalinda.Na Waasi wamejichimbia huko karibu na Chad.Hatari sana,so means wakija tanzania hatutakuwa tunafaudi kuishi kwa raha hivi
Mnazo pesa za kuwalipa?Kweli kabisa. Aje atusaidie kupambana na mafisi ya CCM yasituuze kwa waaarabu. Pesa sio tatizo wazalendo tutachangishana
Acha mikwara wewe ustaadhi wa mchongoKabla hujaandika chochote uwe unaushirikisha ubongo wako usidhani kwasababu unatumia jina fake humu ndio ukafikiri huwezi kujulikana
Inawezekana kama Jeshi likiasi,ila si mpaka jamani .Kwani mfano tukiamua wananchi tujichange tuwalipe si inawezekana kabisa.
Kwani kila mtanzania akichangia 1000 tu kati ya watanzania milion 64 unajua zitapatikana pesa ngapi? Hebu fanya hesabu unambie.Mnazo pesa za kuwalipa?
wewe jamaa sifuri kbs, unajua niliyemmaanisha kweli.Kabla hujaandika chochote uwe unaushirikisha ubongo wako usidhani kwasababu unatumia jina fake humu ndio ukafikiri huwezi kujulikana
Hao wanalipwa billions ,na madini wanachimba .Kwani kila mtanzania akichangia 1000 tu kati ya watanzania milion 64 unajua zitapatikana pesa ngapi? Hebu fanya hesabu unambie.
Kwaio ni kwamba unampiga biti jamaa au?[emoji848]
Ni kweli inaeza kua hatari. Usihofu.Hatari sana,so means wakija tanzania hatutakuwa tunafaudi kuishi kwa raha hivi
Hivi akitokea mtu akakusanya "wataalam" 1000 kutoka mikoa kama tanga,dar,pwan,lindi na mtwara,kigoma!kila mmoja amtengenezee majini 100?si jeshi?au majini ukiyatuma vitani yanaogopa?Fursa kama hizi mbona hatuzichangamkii, humu hakuna ata mtu mmoja mwenye kikosi chake cha kukodisha?
Ngome kweli ila kwa vifaa haina vya kisasa. Wakileta drone ngome itakaangwa kama broiler wa stendi😀Ni kweli inaeza kua hatari. Usihofu.
Jeshi letu lipo Imara na makini, tofauti na wengi wanavyotaka tufikiri, kuwa hatuna Uwezo wa Kijeshi. Tanzania ukisikia Ngome, ni Ngome kweli kweli.
Daah! Mambo ya warfare yameadvance nafikiri na jeshi litakuwa linaendana na kasi ya ukuaji wa technology.Ngome kweli ila kwa vifaa haina vya kisasa. Wakileta drone ngome itakaangwa kama broiler wa stendi[emoji3]
Jeshi letu unaamini litakuwa na drones huku linamiliki ndege za miaka 40 iliopita 😀😀😀Daah! Mambo ya warfare yameadvance nafikiri na jeshi litakuwa linaendana na kasi ya ukuaji wa technology.
No comment Mkuu.Jeshi letu unaamini litakuwa na drones huku linamiliki ndege za miaka 40 iliopita [emoji3][emoji3][emoji3]