Prigozin wa Wagner anavyowachezea akili Ukraine

Sasa aliyekwambia Ukraine wanazitumia hizo taarifa za Wagner ni nani?
 
Whatever, Wagner Group walivyoanza sivyo walivyo sasa wamekuwa wakiuliwa kwa idadi ya 1000 kwa siku, na sasa neno Wagner group limeanza kufifia, walisema bakhmut washainyaka sasa ukiona bado kuna forces fighter wanaongezwa juwa ngoma ni ngumu mno na ujuwe kama makamanda waliotoka mafunzo UK na US sasa wamerudi kazini rasmi tegemea anguko kubwa la Putin kule mpakani Bakhmut

Mungeleta majibu kwanza Moscow ipo salama kiasi gani juu ya zile drone zilizoenda kuripua top ya jengo la Kremlin nyumba ambayo putin analala, je ngoma ikianza Putin atakimbilia wapi? au ataenda zake Uganda kwa M7?
 
Watu wa hivi waga hawana lolote ila ni wanafiki tu, huwezi kusema kwamba mimi siko kwa Mungu wala kwa shetani ila niko katikati.

Muongo na mnafiki mkubwa.
Mungu usimfananishe na hawa kenge.Binadamu wenzangu. Mimi ninamuamini Mungu.Ila kuhusu hawa Kenge ni kutokana na habari iliyo mbele,nitatoa maoni yangu. Obviously yatamfavor mmoja wao.
 
Leo Russia inashutumiwa kutumia mabomu ya phosphorus Bakhmut. Kweli ngoma ni ngumu mjini Bakhmut.
 
Leo atakwambua kaishiwa silaha,
Vita ishakua ngumu sana hii, bakhmut imekua KUZIMU kwa vikosi vya wagner.

Ukraine watachekelea[emoji1787]

Kesho yake asbh utaskia vilio uko bakhmut, ukraine wanalalamika wagner wamefanya shelling ya kufa mtu usiku wa manane[emoji1787]
 
Prigozyn Anaitwa mkandarasi wa VITA[emoji1787]
 
Mimi sio pro Russia wala.Pro Ukraine wala Pro US.Mimi ninachambua habari kama inavyokuja bila kuongonzwa na unazi kwa Russia, Us ama Ukraine ama Nato etc.
Hauegemei upande wowote[emoji106]
 
Ukraine wamekuwa wakaidi sana na hili eneo.Wamepuuza ushauri wa wapenzi wao wengi.Sasa hivi wanasema wanashikilia njia moja tu ya kuingia Bakhmut na kila siku Urusi inazidi kuiminya.Si rahisi kuwarudisha nyuma wakiwa na wao wenyewe wamechoka na silaha wanategemea za kugaiwa.Na si rahisi kwa Urusi kuridi nyuma akaiwacha Bakhmut. Miji mengine waliyoiteka Urusi huwa wanavuta muda kama hivi na kubadilisha miundo mbinu kiasi kwamba waukraine wenyewe wakirudi wanapotea,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…