Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Kwenye intelligence Ukraine wako vizuri, hawawezi kupotoshwa na propaganda za Urusi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa aliyekwambia Ukraine wanazitumia hizo taarifa za Wagner ni nani?Kiongozi wa kundi la Wagner linaloshirikiana na jeshi la Urusi katika vita pamoja na kujifanya ni mropokaji lakini ni mzalendo sana wa nchi yake.
Baada ta vita kuwa vigumu Ukraine imekuwa ikitafuta kila njia kuwagombanisha warusi ili ipate kusonga mbele. Kwa njia hiyo wamekuwa wakitumia maneno ya kiongozi wa Wagner bila tahadhari. Bahata mbaya kwao ni kuwa kila wanapotangaza alilozungumza dhidi ya jeshi la Urusi ndio muda ambapo anaongeza mapigo na kuzidi kumega ardhi ya Ukraine.
Juzi tena Prigozin alisema ataondosha watu wake ikiwa hatopewa silaha kuiteka Bakhmut yote kabla ya tarehe 9 mwezi huu.Baada ya kuona kinyume chake kila mara safari hii vikosi vya Ukraine vimeweza kupeleleza na kuona badala ya kuonesha dalili za kuondoka kumbe ndio anaongeza wapiganaji na wala hana upungufu wowote wa silaha.
WAMEKIRI KULIONA HILO HAPA
![]()
Ukraine says no sign of Russia’s Wagner force Bakhmut withdrawal
Ukraine military officials say Wagner fighters are being sent to Bakhmut to reinforce their positions, not withdraw.www.aljazeera.com
Na hapo hakuna Wagner kufanya propaganda, Bakhmut ni kweli wagner wanateketea.Kabisa and Ukrain nao wako kimya wanajua kinachoendelea
Ww2 warusi wengi walikufa ila ndo waliomshinda Hitler..... Hawa kama wa vietnam tu kufa kwao sio diliNa hapo hakuna Wagner kufanya propaganda, Bakhmut ni kweli wagner wanateketea.
Alisikika nyumbu mmoja baada kunusurika kunyofolewa kende na mambaNa hapo hakuna Wagner kufanya propaganda, Bakhmut ni kweli wagner wanateketea.
Mashabiki wa putin sio wazima kichwani.Hapa ndipo naanza kupata ukakasi, kama wabongo tunafahamu kutunga story hivi inakuwaje tasnia ya bongo movies inazidi kupotea.? [emoji848][emoji848]
Whatever, Wagner Group walivyoanza sivyo walivyo sasa wamekuwa wakiuliwa kwa idadi ya 1000 kwa siku, na sasa neno Wagner group limeanza kufifia, walisema bakhmut washainyaka sasa ukiona bado kuna forces fighter wanaongezwa juwa ngoma ni ngumu mno na ujuwe kama makamanda waliotoka mafunzo UK na US sasa wamerudi kazini rasmi tegemea anguko kubwa la Putin kule mpakani BakhmutKiongozi wa kundi la Wagner linaloshirikiana na jeshi la Urusi katika vita pamoja na kujifanya ni mropokaji lakini ni mzalendo sana wa nchi yake.
Baada ta vita kuwa vigumu Ukraine imekuwa ikitafuta kila njia kuwagombanisha warusi ili ipate kusonga mbele. Kwa njia hiyo wamekuwa wakitumia maneno ya kiongozi wa Wagner bila tahadhari. Bahata mbaya kwao ni kuwa kila wanapotangaza alilozungumza dhidi ya jeshi la Urusi ndio muda ambapo anaongeza mapigo na kuzidi kumega ardhi ya Ukraine.
Juzi tena Prigozin alisema ataondosha watu wake ikiwa hatopewa silaha kuiteka Bakhmut yote kabla ya tarehe 9 mwezi huu.Baada ya kuona kinyume chake kila mara safari hii vikosi vya Ukraine vimeweza kupeleleza na kuona badala ya kuonesha dalili za kuondoka kumbe ndio anaongeza wapiganaji na wala hana upungufu wowote wa silaha.
WAMEKIRI KULIONA HILO HAPA
![]()
Ukraine says no sign of Russia’s Wagner force Bakhmut withdrawal
Ukraine military officials say Wagner fighters are being sent to Bakhmut to reinforce their positions, not withdraw.www.aljazeera.com
Unaringanisha vipi vita vya miaka ya 1940 na karne hii.?Ww2 warusi wengi walikufa ila ndo waliomshinda Hitler..... Hawa kama wa vietnam tu kufa kwao sio dili
Vita ni vita muraaUnaringanisha vipi vita vya miaka ya 1940 na karne hii.?
Mungu usimfananishe na hawa kenge.Binadamu wenzangu. Mimi ninamuamini Mungu.Ila kuhusu hawa Kenge ni kutokana na habari iliyo mbele,nitatoa maoni yangu. Obviously yatamfavor mmoja wao.Watu wa hivi waga hawana lolote ila ni wanafiki tu, huwezi kusema kwamba mimi siko kwa Mungu wala kwa shetani ila niko katikati.
Muongo na mnafiki mkubwa.
Leo Russia inashutumiwa kutumia mabomu ya phosphorus Bakhmut. Kweli ngoma ni ngumu mjini Bakhmut.Whatever, Wagner Group walivyoanza sivyo walivyo sasa wamekuwa wakiuliwa kwa idadi ya 1000 kwa siku, na sasa neno Wagner group limeanza kufifia, walisema bakhmut washainyaka sasa ukiona bado kuna forces fighter wanaongezwa juwa ngoma ni ngumu mno na ujuwe kama makamanda waliotoka mafunzo UK na US sasa wamerudi kazini rasmi tegemea anguko kubwa la Putin kule mpakani Bakhmut
Mungeleta majibu kwanza Moscow ipo salama kiasi gani juu ya zile drone zilizoenda kuripua top ya jengo la Kremlin nyumba ambayo putin analala, je ngoma ikianza Putin atakimbilia wapi? au ataenda zake Uganda kwa M7?
Ha ha ha aya bhana.Vita ni vita muraa
Prigozyn Anaitwa mkandarasi wa VITA[emoji1787]Nimeiona hizo clip,zingine eti analalamika wale watu wake hawana.skills za vita wanakufa kama panzi,na anaonyesha kuumia tena anaonyesha maiti eti anasema.hii ina damu fresh kabisa,ni kama anaonyesha kuchukizwa.Muongo mkubwa huyu.Nikifikiria anachokifanya Sudan sasa hivi na Dagalo wake. Huyu jamaa mpishi wa Putin hana huruma hata kidogo. Yeye ni maslahi mbele.
Hauegemei upande wowote[emoji106]Mimi sio pro Russia wala.Pro Ukraine wala Pro US.Mimi ninachambua habari kama inavyokuja bila kuongonzwa na unazi kwa Russia, Us ama Ukraine ama Nato etc.
Ukraine wamekuwa wakaidi sana na hili eneo.Wamepuuza ushauri wa wapenzi wao wengi.Sasa hivi wanasema wanashikilia njia moja tu ya kuingia Bakhmut na kila siku Urusi inazidi kuiminya.Si rahisi kuwarudisha nyuma wakiwa na wao wenyewe wamechoka na silaha wanategemea za kugaiwa.Na si rahisi kwa Urusi kuridi nyuma akaiwacha Bakhmut. Miji mengine waliyoiteka Urusi huwa wanavuta muda kama hivi na kubadilisha miundo mbinu kiasi kwamba waukraine wenyewe wakirudi wanapotea,Leo atakwambua kaishiwa silaha,
Vita ishakua ngumu sana hii, bakhmut imekua KUZIMU kwa vikosi vya wagner.
Ukraine watachekelea[emoji1787]
Kesho yake asbh utaskia vilio uko bakhmut, ukraine wanalalamika wagner wamefanya shelling ya kufa mtu usiku wa manane[emoji1787]