Royal Warrior
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 1,166
- 2,143
Habar za saa hizi wadau ....
Nauliza kama kuna mtu anayejua shule nzuri ya primary ya kiislam (iwe ya boarding) iliyopo dar es salaam ambayo ni nzuri kitaaluma na ada ni nafuu
Natanguliza shukrani .
Kuna shule nimesifiwa sanaa ila nimeisahau. Contact 0779420000 nitakuulizia.
Habar za saa hizi wadau ....
Nauliza kama kuna mtu anayejua shule nzuri ya primary ya kiislam (iwe ya boarding) iliyopo dar es salaam ambayo ni nzuri kitaaluma na ada ni nafuu
Natanguliza shukrani .
Kuna Shamsiye ila wameshajaza ni nzuri ni nzuri hasa mtoto wangu anasoma pale ni mchepuka wa sayansi na wana labs nzuri za kisasa digitals ila ada yao ni maumivu sana si chini ya m4
Asante mkuu ila nlikua nakusudia PRIMARY school.
nitakuulizia
Habar za saa hizi wadau ....
Nauliza kama kuna mtu anayejua shule nzuri ya primary ya kiislam (iwe ya boarding) iliyopo dar es salaam ambayo ni nzuri kitaaluma na ada ni nafuu
Natanguliza shukrani .
Hii Zabikha ni upuuzi mwingiAlgebra ipo kigamboni inafanya vizuri primary school.
Asswiddiq pia itafute ipo Mwanagati nadhan nayo mtihani wa darasa la 7 imefanya vizuri.
Kifupi ingia google search matokeo ya darasa la saba then ingia Dar es salaam utakuta shule nyingi tu. Islamic schools ( primary ).
Kwa ninazozijua na zimefanya vizuri recently ni Algebra, alhikma, Asswiddiq, Zabikha na kidoogo Yemen ( si sana ). Karibu.
Ya kinyerezi?Hii Zabikha ni upuuzi mwingi
Ndio hiyo hiyoYa kinyerezi?