Primary school ya boarding ya Kiislamu

Primary school ya boarding ya Kiislamu

Royal Warrior

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
1,166
Reaction score
2,143
Habar za saa hizi wadau..

Nauliza kama kuna mtu anayejua shule nzuri ya primary ya kiislam (iwe ya boarding) iliyopo dar es salaam ambayo ni nzuri kitaaluma na ada ni nafuu.

Natanguliza shukrani .
 
Habar za saa hizi wadau ....
Nauliza kama kuna mtu anayejua shule nzuri ya primary ya kiislam (iwe ya boarding) iliyopo dar es salaam ambayo ni nzuri kitaaluma na ada ni nafuu
Natanguliza shukrani .

Kuna shule nimesifiwa sanaa ila nimeisahau. Contact 0779420000 nitakuulizia.
 
Habar za saa hizi wadau ....
Nauliza kama kuna mtu anayejua shule nzuri ya primary ya kiislam (iwe ya boarding) iliyopo dar es salaam ambayo ni nzuri kitaaluma na ada ni nafuu
Natanguliza shukrani .

Kuna Shamsiye ila wameshajaza ni nzuri ni nzuri hasa mtoto wangu anasoma pale ni mchepuka wa sayansi na wana labs nzuri za kisasa digitals ila ada yao ni maumivu sana si chini ya m4
 
Asante mkuu ila nlikua nakusudia PRIMARY school.
 
Ilala islamic primary school
Watembelee
Maadili na taaluma safiii
 
Habar za saa hizi wadau ....
Nauliza kama kuna mtu anayejua shule nzuri ya primary ya kiislam (iwe ya boarding) iliyopo dar es salaam ambayo ni nzuri kitaaluma na ada ni nafuu
Natanguliza shukrani .

Algebra ipo kigamboni inafanya vizuri primary school.

Asswiddiq pia itafute ipo Mwanagati nadhan nayo mtihani wa darasa la 7 imefanya vizuri.

Kifupi ingia google search matokeo ya darasa la saba then ingia Dar es salaam utakuta shule nyingi tu. Islamic schools ( primary ).

Kwa ninazozijua na zimefanya vizuri recently ni Algebra, alhikma, Asswiddiq, Zabikha na kidoogo Yemen ( si sana ). Karibu.
 
Hii Zabikha ni upuuzi mwingi
 
Back
Top Bottom