Bobwe,Kama kweli mapinduzi ya 64 ni kuwakomboa waz'br mbona bado zanzbr hawana maamuzi?huo uhuru ni wa jambo gn?
..wako wa-Znz ambao waliona uhuru wa 1963 ni uhuru bandia ndiyo maana wakapindua.
..sasa hawa waliopindua nao wakaenda kinyume na malengo ya mapinduzi.
..tuwe wakweli. Karume na kundi lake walikosa weledi na uadilifu ktk kuiongoza Znz.
..kuhusu maamuzi, mimi naamini nafasi ya kufanya maamuzi mnayo. kwanza, mna serikali yenu na baraza la wawakilishi. pili,mna nafasi kubwa ya uwakilishi ktk vyombo vya muungano kama bunge, na serikali ya muungano.
..hata ktk CCM nako mnawakilishwa vya kutosha, na kwa upande wa CUF kinaeleweka kwamba mzizi wake uko Zanzibar.
..sasa labda nikuulize: WHY do u think hamna maamuzi, wakati mna uwakilishi mkubwa tu ktk vyombo vyote vya maamuzi?
cc: gombesugu, Kibunango, Nonda, Foum Jnr, Kubwajinga, Mdondoaji, Mchambuzi
Last edited by a moderator: