Prime minister wa Zanzibar akihutbia UN Dec 1963

nngu007

hawakumataka kwasababu moja tu.................................conflict of interest ..........my opinion

Sasa MBONA Sultani alikimbilia MOMBASA akanyimwa MSAADA akaenda DAR akapewa Msaada na NYERERE? na kwenda UINGEREZA?

Conflict of interest... just for your Own OPENION? Haujui Maana lakini Walalamika eh? It is disgraceful...

Na ni kwanini hadi leo WaZENJI hawamtaki MWARABU? ni wachache tu na wengi ni waPEMBA na baadhi ya waliochanganyika?

Lakini ni Lazima muwe na chuki na kitu kimoja oooh ni NYERERE huyo... JUST for the sake of IT; Hakuna anayeongelea BIASHARA ya UTUMWA hata kidogo sababu - Mwarabu alikuwa na Maana

Kweli toka Karne hiyo ya 17 Mwarabu kaingia Zanzibar hakujenga CHUO KIKUU CHOCHOTE???
 
Kakojoe ukalale.
 
sultan alipokelewa na nyerere au kwa amri ya muengereza? tunawajuwa ambao nyerere aliwablock wasiondoke hapo dar alitaka warejee znz wakauliwe, lakini umri wao ni mrefu habari zikfika kwa muengerea wakasafirishwa.

la pili wewe mtanganyika linakuuma vipi tatizo la znz na wanzibari wenyewe wapo?

wazenji gani wasiomtaka mwarabu au unakusudia wana ccm, hao aghlabu huwa ni ndugu zenu kutoka tanganyika.

ikiwa kujenga chuo kikuu ni kipi kimejengwa na nyerere? usije ukasema cha dsm hicho kimetifishwa tu katika azimio la arusha

ona picha hii ya shahada ya skuli ya 1914 huko zanzibar na wewe tuletee ya 1914 ya tanganyika

sckul cert.jpg

unasema ninachuki na nyerere, huyo ni raisi wako wewe, wewe ndo unayetakiwa kumpenda au kumchukia, mim nitawependa au nitawachukia maraisi wa znz.
 
View attachment 100098
Sifikiri kama shahada ya tanganyika atakuletea.
 
Kinacho wasumbua akili watanganyika ni roho mbaya zidi ya zanzbr,jana marais watatu wa nchi za afrika mashariki walikaa kuanzisha shirikisho lao bila ya kuwaalika watanganyika kwa sababu wamesha waelewa watanganyika ni nuksi kukaa nao pamoja.

Daaaah !............huyu jamaa vipi, mbona mi simuelewi !?
 
Prime Minister Mohammed Shamte alipata Uhuru tarehe 10 Disemba 1963 chini ya Sultani Kama mnavyosema na yakafanyika Mapinduzi tarehe 12 Januari 1964 yaliyopangwa na Sultani wa Tanganyika Dikteta Nyerere
 
Mapinduzi matukufu ya Zanzibar yalifanyika mwaka 1964 chini ya uongozi wa Field Marshall Okello.Bwana shamte alikuwa akiwakilisha serekali ya kidhalimu ya kisultan.
Mapinduzi ni uhaini ...sasa haya yaweje matukufu?
 
Saa nyengine nyinyi watanganyika wana CCM munatufanya tujiulize, ivi mumesoma shule zipi? munajuwa tofauti baina ya mchana na usiku?

Hebu kada Ngongo ninatumai, ninadhani, ninafikiri kwamba kwa unajuwa tofauti baina ya UHURU NA MAPINDUZI?
ikwezekana usike jazba zako za kawaida.
Uhuru wa zanzibar 1963 ulikua sawa na uhuru wa rhodesia chini ya ian smith. waafrika wa rhodesia walijikomboa baada ya vita vigumu vya ukombozi na kuzaliwa nchi ya zimbabwe. uhuru wa zanzibar chini ya sultani ulikua uhuru bandia. Katika hizi video zenu tulimsikia mwanamapinduzi Abrahamani Babu akieleza jinsi waafrika chini ya ASP walivyokua wanadhulumiwa kwenye kila chaguzi licha ya kushinda. Kutokana na dhuluma wakalazimika kufanya mapinduzi january 1964 hivyo kupata ukombozi toka utawala wa kitumwa wa sultani.
 
Watanganyika wengi wameugua maradhi ya malaria sugu ndio maana uwezo wao wa kufikiri unakuwa mdogo na obama kesho kutwa anawaletea vyandarua,hivi pale UN unaweza kuiwakilisha nchi bila ya nchi?shamte yupo pale kuiwakilisha jamhuri ya watu wa zanzibr.
Mjinga wewee hujui! shamte alikua pale kuiwakilisha dola ya kisultani ya zanzibar 'sultanate of zanzibar' waliowakilisha jamhuri ya watu wa zanzibar ni wanamapinduzi waliomwangusha sultani na kuweka jamhuri ikiongozwa na rais karume. Mnajidai kujua bila kwenda shule, mtarudishwa kwenye utumwa bila kujua
 
Mazindu Msambule

Kwa nyinyi watanganyika sulatan ni mbaya kwa sisi wazanzibari ni mzuri tena sana sana sana kupita kipimo,

leo hii ukiwauliza wazanzibari sio wazanzibara (wazanzibara waliletwa kufanya makazi tu) nani bora awe mtawala wa zanzibar....sultan au tanganyika....basi mia fil mia watachaguwa sulatan.

sisi wazanzibari hatusikii kama ni waafrika the way u ppl think u are

Kwa ufupi tu Mazindu Msambule, sisi wazanzibari hatuna problem na sulatan na hilo ninakuomba uwaambie watanganyika wenzako woooooooooote, tia magazeti kauli hiyo

Nyinyi watanganyika ni mahuluku shida tu, ugaidi wenu umo ndnai ya vyama vyenu vya siasa CCM, CDM na vitakavokuja baadae, humo ndio munamoteswa na kuuliwa huku munapiga makofi

Last ujuwe kila unaposoma makala zangu mimi kama mzanzibari ni PRO SULATAN 100% na hatutaki muungano na tanganyika

bora kutawaliwa na waarabu matajiri na wenye kujuwa thamani ya mali na vitu kuliko watanganyika masikini na wasiojuwa thamani ya mali na vitu................kazi yenu udini njaa tu..........

kumbe unasumbuliwa na uvivu unapenda hela za sultan hujui kazipata wapi? mwisho wa siku atakupiga kiliberali na kale ka-mkia kadogo.
 
sultan alipokelewa na nyerere au kwa amri ya muengereza? tunawajuwa ambao nyerere aliwablock wasiondoke hapo dar alitaka warejee znz wakauliwe, lakini umri wao ni mrefu habari zikfika kwa muengerea wakasafirishwa.

la pili wewe mtanganyika linakuuma vipi tatizo la znz na wanzibari wenyewe wapo?

wazenji gani wasiomtaka mwarabu au unakusudia wana ccm, hao aghlabu huwa ni ndugu zenu kutoka tanganyika.

ikiwa kujenga chuo kikuu ni kipi kimejengwa na nyerere? usije ukasema cha dsm hicho kimetifishwa tu katika azimio la arusha

ona picha hii ya shahada ya skuli ya 1914 huko zanzibar na wewe tuletee ya 1914 ya tanganyika

View attachment 100098

unasema ninachuki na nyerere, huyo ni raisi wako wewe, wewe ndo unayetakiwa kumpenda au kumchukia, mim nitawependa au nitawachukia maraisi wa znz.

Mazindu Msambule

Kwa nyinyi watanganyika sulatan ni mbaya kwa sisi wazanzibari ni mzuri tena sana sana sana kupita kipimo,

leo hii ukiwauliza wazanzibari sio wazanzibara (wazanzibara waliletwa kufanya makazi tu) nani bora awe mtawala wa zanzibar....sultan au tanganyika....basi mia fil mia watachaguwa sulatan.

sisi wazanzibari hatusikii kama ni waafrika the way u ppl think u are

Kwa ufupi tu Mazindu Msambule, sisi wazanzibari hatuna problem na sulatan na hilo ninakuomba uwaambie watanganyika wenzako woooooooooote, tia magazeti kauli hiyo

Nyinyi watanganyika ni mahuluku shida tu, ugaidi wenu umo ndnai ya vyama vyenu vya siasa CCM, CDM na vitakavokuja baadae, humo ndio munamoteswa na kuuliwa huku munapiga makofi

Last ujuwe kila unaposoma makala zangu mimi kama mzanzibari ni PRO SULATAN 100% na hatutaki muungano na tanganyika

bora kutawaliwa na waarabu matajiri na wenye kujuwa thamani ya mali na vitu kuliko watanganyika masikini na wasiojuwa thamani ya mali na vitu................kazi yenu udini njaa tu..........
Sasa itabidi mulie tu au muwafuate waarabu huko uarabuni. Hao unaowaita wazanzibara ni majority na ndio waliofanya mapinduzi kujikomboa kwenu madhalimu mnaowaona wao watumwa. Walifanya busara kufanya muungano na ndugu zao waafrika wa tanganyika kwani walijua wanaishi nyumba moja na adui wenye maankal wenye kuamini wazanzibara ni watumwa.
 
LordJustice1

kinachoisumbuwa zanizbar ni utawala wa CCM

niniiiii waende zao huko znz kuna nn cha ajabu chakutupa presha? Watakula karafuuu zao. Kupiga kelele na watu hata nyanya na kitunguu mpaka vitoke bara si wehu huo.
 
Zakiyah

ni bora tukale karafuu na kupiga kelele lakini tutakula karafuu hizo kwa raha zetu bila presha ya watanganyika
 
kmbwembwe

Sasa itabidi mulie tu au muwafuate waarabu huko uarabuni. Hao unaowaita wazanzibara ni majority na ndio waliofanya mapinduzi kujikomboa kwenu madhalimu mnaowaona wao watumwa. Walifanya busara kufanya muungano na ndugu zao waafrika wa tanganyika kwani walijua wanaishi nyumba moja na adui wenye maankal wenye kuamini wazanzibara ni watumwa.

sisi hatuoni taabu sana kuwafuata waraabu, kwanza tukichokoka na huu muungano kasheshe na nyinyi tunaingia Arab League, hapo ndio watanganyika nyote mutapata hat etek, maana tulipojiunga na OIC mulikaribia kupata wazimu, raisi wenu, magazeti yenu plus plus plus

waliofanya mapinduzi ni watanganyika, jeshi la tangayika liliivamia znz, ushahili kamili leo upo, mzanzibari asingeweza kuipindua serikali kwa wakati ule
 
MBWA MANZESE

kumbe unasumbuliwa na uvivu unapenda hela za sultan hujui kazipata wapi? mwisho wa siku atakupiga kiliberali na kale ka-mkia kadogo.

kabla kusema kitu kipime kwanza, yaani tusije tutakuona unasema ovo tu, wewe msomi kaka, nakuomba uzungumze kisomi

unasema wazanzibari wavivu wakati wewe ikiwa upo dar unalishwa na kuvishwa na wazanzibar, au sio sisi wenye maduka hapo na mikahawa ya kila aina isipokuwa bars tu

ukivunjika muungano, tutawaondosha wafanyabiashara wetu tanganyika,

uwezo upo wa kuifanya znz kama dubai au hong kong ya east afrika, nyinyi mutakuja kwa miguu na mikono kutufuata tukulisheni na kukuvikeni kama kawaida.

nyinyi watanganyika ni watu very funny, mali asili muliyonayo haikusaidiini kitu, mito maziwa na ardhi yenye rutuba haikusiini kitu, sasa nani mvivu baina ya wazanzibari na watanganyika

isipokuwa munadhani kuendelea kuitawala znz ndio itakusiidieni kitu, its over
 
Back
Top Bottom