Kaka usibadilishi history ya zanizbar kama walivyofanya wana mapinduzi, inasemakana mwinyi mkuu alialikuwa na makao makuu yake shangani,warabu walimuondoa shangani akakimbilia sehemu Bungi,wazanzibar kama wazanzibar walikuwa wanafanya biashara na wafanya biashara wa bahari ya hindi, walikuwa wanafanya biashara na warabu,wahindi,wachina.....wareno nk
Warabu wa mwanzo kutawala walitawala Kilwa,wakati warabu wanatawala Kilwa na Kilwa iko juu kibiashara zanzibar ilikuwepo na ilikuwa haitawaliwi na mwarabu,warabu wameanza kutawala Zanzibar baada ya weyeji wa zanzibar kuwaita waje kusaidia kuwaondoa wareno soma hii link
....Ancient African coins that could change history of Australia - CNN.com...
soma hiyo link hapo juu utaona uhusioan uliopo kati ya Zanzibar na Kilwa,utawala wa kilwa na na zaniabr vilikuwa ni vitu viwili tafauti
Ninavyoona mimi na katika tafiti zangu,wazanzibar walikua ni watu wa kuchaganyika kimamakabila kama ilivyo kisiwa chochote kile duniani,wazanzibari wenyewe walikua sio warabu,sio wahindi wala sio wapasia,Mwarabu aliemleta muhindi na akamfanya ahamie zanzibar ,mzanzibari aliemleta mwarabu na kumfanya ahamie zanzibar ,kabla ya hapo kablaya hao wahindi na warabu kuja kuhamia zanzibar kulikuwepo watu wanaoitwa wazanzibar wanaofanya biashara zao kutoka na geografia za viziwa hivyo
Wakati huo ilikuwa inachukuwa miazi mitatu(3) mpaka sita kutoka Oman,au India kwa msaada wa upepo wa monsson kufika zanizibar,inachukuwa masaaa mawili kwa kutmia upepo kwa Msegeju kutoka Pangani mpaka Pemba,inachukua muda huo huo kwa Mzaramo kutoka Mlingotini mpaka shangani Unguja,haya makabila ni wavuvi na wanaendela kulala Dago kwenye visiwa vya zanzibar na kando kando ya bahari ya Tanganyika na hawa ndio waasisi wa wawasuahilimwa zanzbar
nani wazanzibari? muono wangu wazanzibar ni mchanganyiko wa makabila ya mkondo wa pwani ya afrika mashariki makabila kama wadigo,wazigua,wasegeju,wazaramo,wasomali,wangazija,,wagunja.....nk,baada ya makabila haya na mengineo kuachanganyika na makabila ambayo yanatoka nje ya afrika hususan bara la asia kama vile warabu.wahindi,wapasia,wareno nk zanzibar ilizaaa utamaduni wake na mila zake na waswahili wanzibar ukazaliwa
Mfano mzuri angalia USA na history yake mchanganyiko wa makabila ya Ulaya ulizaa utamaduni mpya unaoitwa "Umarekani"
Je mzanzibari ni mtanganyika? jibu hapana,mzanzibar ni mzanzibar,wazanzibar ni watu wenye asili yao,utamaduni wao,mila zao,lugha yao nk,ni watu waliochangayika kikabila kutokana na feografia wa visiwa vyao,kama tunavyoiona marekani na utamaduni wake ndio ninavyooiona zanzibar na utamaduni wake
😉