Prime minister wa Zanzibar akihutbia UN Dec 1963

Prime minister wa Zanzibar akihutbia UN Dec 1963

Mbona katika list hiyo imezungumziwa United Republic of Tanzania (Formerly Tanganyika and Zanzibar) ?
Sasa hicho kiti cha Zanzibar kiko wapi? Au kimetunzwa store?
Member states of the United Nations - Wikipedia, the free encyclopedia

Mkuu, mi naona unajarubu kudandia gari moshi kwa mbele katika hii mada ila nakuomba pitia tena vizuri hiy link yako ndio uchangie, unajua fika Kuwa unga ukitiwa maji huwa sembe. Kinacho jadiliw hapa ni prime minister wa Zanzibar akihutubia UN Dec 1963, nilipitia hio link yako lakini mi sikuona Tanzania wala Tanganyika Kuwa na kiti wakati huo, hili vpi?.
 
Kinacho wasumbua akili watanganyika ni roho mbaya zidi ya zanzbr,jana marais watatu wa nchi za afrika mashariki walikaa kuanzisha shirikisho lao bila ya kuwaalika watanganyika kwa sababu wamesha waelewa watanganyika ni nuksi kukaa nao pamoja.
 
naanza kupata msisitizo wa theory ya huu mchoro japo mwanzoni nilidhani tumebadilika kimawazo baada ya kukaa kwenye Muungano kwa miaka kadhaa na wengine kuzaliwa humo humo.
Hivi kiti cha Ujerumani Mashariki na Ujerumani Magharibi kinasomekaje hadi sasa!?
View attachment 99844

Haaa, hadi ww pia unajua maana ya "theory" matumizi yke, mi nakushauri usitumie maradhi ya ujinga wko kuambukiz wengine!, eti '(baada ya kukaa kwenye Muungano kwa miaka kadhaa na wengine kuzaliwa humo humo)'hii ndio nini, nawale waTanganyika walio zaa nchi nyingine?, hiyo sio hoja kw waZanzibari, na kiti cha waSudani au waKorea vyao vitasomekaje?.

Zanzibar kwanza!.
 
Basi nyerere alikuwa mpumbavu,kwanini alikubali kuungana na nchi ya kibaguzi?

Hapa Nyerere anaingiaje? Karume maji yalimfika shingoni baada ya Sultani kutimuliwa na Jemedari John Okello wa Uganda akamganda Nyerere kwamba kama anataka waungane yeye (Karume) alikuwa tayari "hata sasa!" Kwa hiyo Muungano ulikuwa wa kiusalama zaidi kwa Zanzibar na pia Tanganyika!
Whatever the case, whether akili yako itakutuma kuwa Nyerere alikuwa "mpumbavu" ni kichwa chako, siwezi kukiamulia vinginevyo!
Hata hivyo, haiondoi ukweli wa ubaguzi wa akina Maalim Seif na Pro-Arabs wenzake! Akienda Bara hubadilisha kauli zake ila akiwa Zanzibar ni full mipasho ya kiubaguzi!
 
Kumbe ussultani ulikua unajulikana na unathaminiwa na wazungu mpaka bendera ya zanzibar ilikua inapepea? Kwanini usirudi tuu
 
Haaa, hadi ww pia unajua maana ya "theory" matumizi yke, mi nakushauri usitumie maradhi ya ujinga wko kuambukiz wengine!, eti '(baada ya kukaa kwenye Muungano kwa miaka kadhaa na wengine kuzaliwa humo humo)'hii ndio nini, nawale waTanganyika walio zaa nchi nyingine?, hiyo sio hoja kw waZanzibari, na kiti cha waSudani au waKorea vyao vitasomekaje?.

Zanzibar kwanza!.
haya bwana, sioni tofauti na wale waliliao wembe! Nakushauri katika mchakato wenu msisahau kuwa 'umoja na utengano', 'chuki na upendo' vyote huja kwa kufanyiwa kazi! Kila la kheri yakhe!
 
Wachangiaje wengi wana hasira kutokana na na yale Mapinduzi!

Na wako nje ya Visiwa hivi!

Yaani wantamani Muungano uvivunjike ili waje warudishe Uslutani Visiwani!

Je itawezekana kweli??
 
Watanganyika wengi wameugua maradhi ya malaria sugu ndio maana uwezo wao wa kufikiri unakuwa mdogo na obama kesho kutwa anawaletea vyandarua,hivi pale UN unaweza kuiwakilisha nchi bila ya nchi?shamte yupo pale kuiwakilisha jamhuri ya watu wa zanzibr.
Mkuu si vibaya kukumbuka historia japo kidogo ya TANGANYIKA:-[TABLE="class: infobox geography vcard vevent, width: 290"]
[TR]
[TD="class: mergedtoprow fn org summary, colspan: 3, align: center"]Tanganyika[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3, align: center"]Commonwealth Realm[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3, align: center"][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="width: 50px"]←
[/TD]
[TD]1961–1962[/TD]
[TD="width: 50px, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TD="class: maptable, colspan: 3"][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Flag of Tanganyika[/TD]
[TD]Coat of arms[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3, align: center"]Anthem
Mungu ibariki Afrika[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Capital[/TD]
[TD="width: 50%"]Dar es Salaam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Languages[/TD]
[TD]Swahili
English[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TD="colspan: 2"]Government[/TD]
[TD]Parliamentary democracy
under Constitutional monarchy[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TD="colspan: 2"]Monarch[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TD] - [/TD]
[TD]1961–1962[/TD]
[TD]Elizabeth II[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TD="colspan: 2"]Governor-General[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TD] - [/TD]
[TD]1961–1962[/TD]
[TD]Richard Turnbull[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TD="colspan: 2"]Prime Minister[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TD] - [/TD]
[TD]1961–1962[/TD]
[TD]Mwl. Julius K. Nyerere[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedbottomrow"]
[TD] - [/TD]
[TD]1962[/TD]
[TD]Rashidi Mfaume Kawawa[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TD="colspan: 2"]Historical era[/TD]
[TD]Cold War[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TD] - [/TD]
[TD]Independence[/TD]
[TD]9 December 1961[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedbottomrow"]
[TD] - [/TD]
[TD]Republic[/TD]
[TD]9 December 1962[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Currency[/TD]
[TD]East African shilling[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: infobox geography vcard vevent, width: 290"]
[TR]
[TD="class: mergedtoprow fn org summary, colspan: 3, align: center"]Republic of Tanganyika[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3, align: center"]Republic[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3, align: center"][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="width: 50px"][/TD]
[TD]1962–1964[/TD]
[TD="width: 50px, align: right"] →
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TD="class: maptable, colspan: 3"][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Flag of Tanganyika[/TD]
[TD]Coat of arms[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3, align: center"]Anthem
Mungu ibariki Afrika[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Capital[/TD]
[TD="width: 50%"]Dar es Salaam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Languages[/TD]
[TD]Swahili
English[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TD="colspan: 2"]Government[/TD]
[TD]Presidential Republic[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TD="colspan: 2"]President[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedbottomrow"]
[TD] - [/TD]
[TD]1962–1964[/TD]
[TD]Julius Nyerere[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TD="colspan: 2"]Historical era[/TD]
[TD]Cold War[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TD] - [/TD]
[TD]Republic[/TD]
[TD]9 December 1962[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedbottomrow"]
[TD] - [/TD]
[TD]Union with Zanzibar[/TD]
[TD]26 April 1964[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Currency[/TD]
[TD]East African shilling[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Tanganyika /ˌtæŋɡənˈjiːkə/, from 1962 to 1964 the Republic of Tanganyika, was a sovereign state in East Africa. It was situated between the Indian Oceanand the African Great Lakes of Lake Victoria, Lake Nyasa and Lake Tanganyika. It gained independence from the United Kingdom as aCommonwealth Realm on 9 December 1961, becoming a republic within theCommonwealth of Nations exactly a year later, on 9 December 1962. On 26 April 1964, Tanganyika joined with the islands of Zanzibar to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar, a new state that changed its name to theUnited Republic of Tanzania within a year.
Tanganyika originally consisted of the British share of the former German colony of German East Africa which the British took under a League of Nations Mandate in 1922, which was later transformed into a United Nations Trust Territory after World War II. The other parts of German East Africa were taken into Belgian Trusteeship, eventually becoming known as modern-day Rwandaand Burundi.
 
Mapinduzi matukufu ya Zanzibar yalifanyika mwaka 1964 chini ya uongozi wa Field Marshall Okello.Bwana shamte alikuwa akiwakilisha serekali ya kidhalimu ya kisultan.
KUna tofauti kati ya mapinduzi na uhuru. Zanzibar ilipata uhuru mwaka 1963 halafu serikali ikapinduliwa na akina Okello mwaka 1964. Kwa hiyo yale yalikuwa ni mapinduzi ya serikali si uhuru na ndio maana wakawa na kiti umoja wa mataifa!
 
Wana JF

Kwa wale wasioijuwa zanzibar vyema, mumebahatika sana kupata darsa hili leo

Hiyo hapo chini ni hutuba ya Prime Minister wa zanzibar Mhe Mohammed Shamte akihutumia Umoja wa Maitaifa 1963,

Kwa taarifa yenu tu, kiti cha UN cha zanzibar kikalipo, nyerere alisahau kukifuta au hakuweza kukifuta kwasababu muungano wake na karume haukuwa wa mkataba kwahivo bado kiti cha znz

Bendera ya znz yenye karafuu munaioan hapo

kipo

SERIKALI GANI? Ya KIARABU? Sababu Wa Rangi Nyeusi wa Zanzibar hawakuwa wanaitambua; Walikuwa Wanaipiga
Kama kweli wangekuwa wanaiiunga MKONO kwanini Walikuwa wanapinga SALIM AHMED SALIM kuwa RAIS? wanasema ni MWARABU?

Sasa wewe Umeitoa wapi PENZI lako la MWARABU???
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli siku hiyo Shamte alihutubia UN na ndiyo siku Zanzibar ilipojiunga na UN, ilikuwa December 16, 1963.

Lakini ni kweli pia kwamba Wednesday, May 06, 1964, sovereignity ya Zanzibar na Tanganyika zilifutwa rasmi na kiti cha Zanzibar na cha Tanganyika kwenye UN kikapotea kukawa na kiti kimoja tu cha Jamhuri ya Muungano.

Mleta mada inaelekea umejitahidi na kufanikiwa kuwakomba baadhi ya wachangiaji katika ujinga ulio nao wa kutoujua ukweli huu.

Cc: Bin Faza, Babuji, Ngongo, Zumbemkuu, Mazindu Msambule, Bobwe, Mandi, Idawa

sawa gwiji, tunayajuwa hayo uyasemayo n aminaka nend amiaka rudi salim ahmed salim ndie alokuwa balozi wa zanzibar UN halafu akawa wa tz huko huko. unujuwa kwamba wana ccm/watanganyika wenzako wanashindwa kulijuwa hilo.

tatizo lako lipo wapi wewe sasa?
 
Hivi kama kweli mapinduzi yameleta uhuru kwa waz'br mbona hawana kiti UN,hawana mamlaka kamili,hawana nchi,hawawezi kujiamulia kimataifa?uhuru huo ni wa jambo gni?ni wazi yale yalikuwa ni mavamizi ya wahuni dhidi ya zanzbr huru na sio mapinduzi.
 
Bobwe

Ninahakika wewe si kipofu na ninahakika unafamu kiingilishi yaani umesoma......sasa tuseme ndio humuoni huyo waziri mkuu wa znz yupo UN anahutubia baraza?

Balozi wetu alikuwa Dr salim Ahmed Salim huyu umjuwae wewe

lakini leo kiti chetu kimekaliwa na ccm na agenda zake za siri kwa kupitia tz
 
Mkuu si vibaya kukumbuka historia japo kidogo ya TANGANYIKA:-[TABLE="class: infobox geography vcard vevent, width: 290"]
[TR]
[TD="class: mergedtoprow fn org summary, colspan: 3, align: center"]Tanganyika[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3, align: center"]Commonwealth Realm[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3, align: center"][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]← [/TD]
[TD]1961–1962[/TD]
[TD="align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TD="class: maptable, colspan: 3"][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Flag of Tanganyika[/TD]
[TD]Coat of arms[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3, align: center"]Anthem
Mungu ibariki Afrika[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Capital[/TD]
[TD="width: 50%"]Dar es Salaam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Languages[/TD]
[TD]Swahili
English[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TD="colspan: 2"]Government[/TD]
[TD]Parliamentary democracy
under Constitutional monarchy[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TD="colspan: 2"]Monarch[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TD] -[/TD]
[TD]1961–1962[/TD]
[TD]Elizabeth II[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TD="colspan: 2"]Governor-General[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TD] -[/TD]
[TD]1961–1962[/TD]
[TD]Richard Turnbull[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TD="colspan: 2"]Prime Minister[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TD] -[/TD]
[TD]1961–1962[/TD]
[TD]Mwl. Julius K. Nyerere[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedbottomrow"]
[TD] -[/TD]
[TD]1962[/TD]
[TD]Rashidi Mfaume Kawawa[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TD="colspan: 2"]Historical era[/TD]
[TD]Cold War[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TD] -[/TD]
[TD]Independence[/TD]
[TD]9 December 1961[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedbottomrow"]
[TD] -[/TD]
[TD]Republic[/TD]
[TD]9 December 1962[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Currency[/TD]
[TD]East African shilling[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: infobox geography vcard vevent, width: 290"]
[TR]
[TD="class: mergedtoprow fn org summary, colspan: 3, align: center"]Republic of Tanganyika[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3, align: center"]Republic[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3, align: center"][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]1962–1964[/TD]
[TD="align: right"] →[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TD="class: maptable, colspan: 3"][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Flag of Tanganyika[/TD]
[TD]Coat of arms[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3, align: center"]Anthem
Mungu ibariki Afrika[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Capital[/TD]
[TD="width: 50%"]Dar es Salaam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Languages[/TD]
[TD]Swahili
English[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TD="colspan: 2"]Government[/TD]
[TD]Presidential Republic[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TD="colspan: 2"]President[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedbottomrow"]
[TD] -[/TD]
[TD]1962–1964[/TD]
[TD]Julius Nyerere[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TD="colspan: 2"]Historical era[/TD]
[TD]Cold War[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TD] -[/TD]
[TD]Republic[/TD]
[TD]9 December 1962[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedbottomrow"]
[TD] -[/TD]
[TD]Union with Zanzibar[/TD]
[TD]26 April 1964[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Currency[/TD]
[TD]East African shilling[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Tanganyika /ˌtæŋɡənˈjiːkə/, from 1962 to 1964 the Republic of Tanganyika, was a sovereign state in East Africa. It was situated between the Indian Oceanand the African Great Lakes of Lake Victoria, Lake Nyasa and Lake Tanganyika. It gained independence from the United Kingdom as aCommonwealth Realm on 9 December 1961, becoming a republic within theCommonwealth of Nations exactly a year later, on 9 December 1962. On 26 April 1964, Tanganyika joined with the islands of Zanzibar to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar, a new state that changed its name to theUnited Republic of Tanzania within a year.
Tanganyika originally consisted of the British share of the former German colony of German East Africa which the British took under a League of Nations Mandate in 1922, which was later transformed into a United Nations Trust Territory after World War II. The other parts of German East Africa were taken into Belgian Trusteeship, eventually becoming known as modern-day Rwandaand Burundi.

kusudio laki nini katika risala yako?
 
SERIKALI GANI? Ya KIARABU? Sababu Wa Rangi Nyeusi wa Zanzibar hawakuwa wanaitambua; Walikuwa Wanaipiga
Kama kweli wangekuwa wanaiiunga MKONO kwanini Walikuwa wanapinga SALIM AHMED SALIM kuwa RAIS? wanasema ni MWARABU?

Sasa wewe Umeitoa wapi PENZI lako la MWARABU???

na huyu mohammed shemte nae ni mwarabu?!
 
Bobwe

Ninahakika wewe si kipofu na ninahakika unafamu kiingilishi yaani umesoma......sasa tuseme ndio humuoni huyo waziri mkuu wa znz yupo UN anahutubia baraza?

Balozi wetu alikuwa Dr salim Ahmed Salim huyu umjuwae wewe

lakini leo kiti chetu kimekaliwa na ccm na agenda zake za siri kwa kupitia tz

bin faza,
kama sikumuelewa vibaya bobwe hakuwa mbali na mawazo yako kuwa yale hayakuwa mapinduzi halali yaliyolenga kuifanya zanzbar iwe huru ndi maana leo hakina kiti un na haina uhuru wa kujiamulia kimataifa kiufupi ipo chini ya ukoloni mweusi wa tanganyika.
 
nngu007

Na ni kwanini ASP na UMMA hawakumtaka walimsema kama kibaraka wa Mwarabu

hawakumataka kwasababu moja tu.................................conflict of interest ..........my opinion
 
Back
Top Bottom