Prime minister wa Zanzibar akihutbia UN Dec 1963

Kama kweli mapinduzi ya 64 ni kuwakomboa waz'br mbona bado zanzbr hawana maamuzi?huo uhuru ni wa jambo gn?
Bobwe,

..wako wa-Znz ambao waliona uhuru wa 1963 ni uhuru bandia ndiyo maana wakapindua.

..sasa hawa waliopindua nao wakaenda kinyume na malengo ya mapinduzi.

..tuwe wakweli. Karume na kundi lake walikosa weledi na uadilifu ktk kuiongoza Znz.

..kuhusu maamuzi, mimi naamini nafasi ya kufanya maamuzi mnayo. kwanza, mna serikali yenu na baraza la wawakilishi. pili,mna nafasi kubwa ya uwakilishi ktk vyombo vya muungano kama bunge, na serikali ya muungano.

..hata ktk CCM nako mnawakilishwa vya kutosha, na kwa upande wa CUF kinaeleweka kwamba mzizi wake uko Zanzibar.

..sasa labda nikuulize: WHY do u think hamna maamuzi, wakati mna uwakilishi mkubwa tu ktk vyombo vyote vya maamuzi?

cc: gombesugu, Kibunango, Nonda, Foum Jnr, Kubwajinga, Mdondoaji, Mchambuzi
 
Last edited by a moderator:
Yule Mzanzibari aliyepelekwa Guantanamo Khalfani, hakuwa gaidi?
Jasusi gaidi ni huyu hapa

Bw.Henry Kileo akiwa na watuhumiwa wenzake wa mashtaka ya Ugaidi yanayowakabili wakati walipofikishwa Mahakama ya Hakimu mkazi mkoani Tabora kwa mara ya kwanza​
 
wazanzibari wa ukweli tuko tayari arudi sultan kuliko kutawaliwa na watanganyika
Bin Faza,

..lakini mbona Kamandoo Salmin Amour alishatoa ruksa kwa Jamshid kurudi Zanzibar??

..Salmin alisema Sultani anaruhusiwa kurudi Znz kama raia wa kawaida.

..au, wewe una maanisha Sultani arudi kama Mtawala wa Zanzibar??

..kama ni hivyo, Katiba ya sasa ya Zanzibar haina nafasi ya Sultani.

..kama mnataka kuongozwa na Sultani inabidi mpeleke mswada ktk baraza la wawakilishi utakaobadilisha sheria na katiba ya Zanzibar kuhusu nafasi ya Sultani.

cc: GHIBUU, Kakke, Bobwe
 
Last edited by a moderator:
mapinduzi ya 64, uhuru wa 63 na utawala wa kiengereza na wa kiarabu ni historia itayobakia kutazamwa kwa maoni tafauti kwa kutegemea imani ya mtazamaji. tuliozaliwa miaka ya 79 na 80 tumechoshwa na propaganda za pande zote ambazo hazina faida yeyote kwa mwananchi wa kawaida. Wenye kutamani kurejea kwa mfalme kuja kututawala naona bora wamfwate huko alipo mfalme akawatawale sio kwa dunia ya leo ya demokrasia ya kweli, na wanaoendelea propaganda za mapinduzi yalioua raia wasio na hatia na kupelekea nchi kuendeshwa kwa misingi ya ubabe nao pia wakae wakijua dunia ya sasa inawapa mgongo. wakati umefika kuachana na propaganda hizi za kikabila na kihistoria zisizo na faida badala yya kuendeleza chuki za kipuuzi na kuhalalisha ubaguzi wa pande moja against nyengine. tunataka kujenga Zanzibar mpya, itakyorejesha heshima ya wananchi wake kwa kujipanga upya kimaendeleo kuhakikisha mwananchi wa kawaiida hatatumiwa na vibaraka kwa sababu za historia isiokwisha. Step ya kwanza kupata kauli ya wananchi juu ya muungano, step ya pili kuendesha kampeni ya kuhakikisha demokrasia, uhuru wa mahakama, accountability ya viongozi inachukuwa hatamu. zamani kuzungumzia muungano ni uhaini, leo tuko wapi, kwa beleivers kama mimi huu ni mwanzo tu, the best is yet to come..
 
Jasusi gaidi ni huyu hapa

Bw.Henry Kileo akiwa na watuhumiwa wenzake wa mashtaka ya Ugaidi yanayowakabili wakati walipofikishwa Mahakama ya Hakimu mkazi mkoani Tabora kwa mara ya kwanza​

Huyu ni mhanga wa ukombozi wa Mtanzania. Hata Mandela makaburu walimwita ni gaidi. Wewe Boko Haram ni kaburu?
 
Mwanamaulidi

hii tanganyika ipo ghuba za uarabuni??

sijui unajuwa hali halisi ya walala hoi ambao ni majority huko tanganyika

ikiwa mumechoka si muuvunje muungano tu?

lakini munaungangania muungano galafu munakuja na vijineno juu
 

umenena sawa mkuu, un akura zangu 100%

hakuna anayetaka kulemleta sultan tena, ubaguzi unaletwa na watanganyika kwa siasa za ccm znz, si waone tu wakipanda viriri wanaanza kutukana watu ovyo.

znz itakuwa huru na kuwa na uhuru wenye maana ikiwa itakuwa ni znz yenye mamlaka yake
 

sijatukana nimehoji utegemezi wako kwa sultan umekaa kike zaidi kwamba yeye afanye kazi apate hela wewe akugawie ili uendelee.

Wazanzibar wanaofanya biashara na kulisha na kuvisha watanzania hiyo faida huwa wanapeleka wapi? ingekuwa na mshiko hoja yako kama tungejua ni kiasi gani cha faida wanatumia kuinvest na kujenga miundombinu nyumbani, kama hakuna chochote hiyo hoja kwamba wazanzibar wanafanya biashara bara na ya kutuvisha na kutulisha wakati faida ya hiyo biashara haina impact ya kimaendeleo zanzibar hoja yako inakuwa ni hekaya za abunuasi.

Chukulia israel tunaona kila mwaka ni kiasi gani wanarudisha nyumbani kokote waliko duniani kujenga nchi yao, sasa hawa diaspora wa kizenji huenda huwa wanatuma tende tu nyumbani.
 

kweli hapa umekuja na point kali sana, tunafanya makosa kujenga magorofa dar na kuwacha kujenga znz

hakuna mkamilifu kaka
 
kweli hapa umekuja na point kali sana, tunafanya makosa kujenga magorofa dar na kuwacha kujenga znz

hakuna mkamilifu kaka

sijawahi kuona ghorofa ya mzanzibar yeyote huku bara, sana sana kuna wapemba ambao wanafanya uchuuzi uswahilini wako kwenye vijumba vya kupanga
 
sijawahi kuona ghorofa ya mzanzibar yeyote huku bara, sana sana kuna wapemba ambao wanafanya uchuuzi uswahilini wako kwenye vijumba vya kupanga

ikiwa hiyo ni chuko yako pole sana kaka, ikiwa ndio hujui basi ndio umejuwa sasa,

maradhi yako hayana dawa ila kuvunjika kwa muungano
 

Tujaalie hayo yote uliyoongea ni kweli na bayana isoshaka. Sasa kwanini makuwa ving'ang'anizi wa huo muungano? mbona mumekuwa waoga kuunda Serikali yenu ya Tanganyika mnabaki kujivika joho la Mvungano.

kama utayabaini uoga wenu hapa mtaona bila Znz, Tanganyika haiwezi kusimama pekee. Je wajua kwanini?

cc: Barubaru, gombesugu, Wickama, Kibunango, Nguruvi3, bucho, Mag3, Jasusi

Tujaali
 
Mwanamaulidi


hii tanganyika ipo ghuba za uarabuni??

sijui unajuwa hali halisi ya walala hoi ambao ni majority huko tanganyika

ikiwa mumechoka si muuvunje muungano tu?

lakini munaungangania muungano galafu munakuja na vijineno juu

Unajuwa hakuna dhambi mbaya kwa mola kuliko DHAMBI ya KUNUNG'UNIKA. Na huu ndio mihani mkubwa kwa WATANGANYIKA. siku zote wamekuwa watu wa kunung'unika badala ya kulalamika.

Unajuwa kuna tofauti kubwa sana baina ya KUNUNG'UNIKA NA KULALAMIKA.

Tuwape pole
 

Alaa kwaiyo saivi sio mkoloni tena kashakua raia?
 
Zanzibar imedhulumiwa sana na maccm fak u nyerere fack u karume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…