Prime Mushrooms Tanzania; Wataalamu wa uzalishaji wa mbegu bora za uyoga.

Prime Mushrooms Tanzania; Wataalamu wa uzalishaji wa mbegu bora za uyoga.

Martin Trzay

New Member
Joined
Aug 16, 2025
Posts
1
Reaction score
0
View attachment 3446931

Prime Mushrooms Tanzania ni kampuni inayoongoza katika uzalishaji wa mbegu bora za uyoga nchini. Tunajivunia kutumia sayansi na teknolojia ya kisasa kuhakikisha tunazlisha mbegu zenye kiwango cha juu, salama na zenye matokeo ya uhakika kwa wakulima wa uyoga.
kwanini uchague Prime Mushrooms​
  • ubora wa mbegu​
  • Teknolojia ya kisasa na mfumo endelevu wa uzalishaji​
  • Bei nafuu na unaletewa popote ulipo​
  • Huduma bora kwa wateja na ushauri wa kitaalamu wa kilimo cha uyoga​
Tunapatikana Morogoro SUA, Kwa mawasiliano zaidi
+255 788 801 237​
 
Back
Top Bottom