Mwambie uyoBarca ilikuwa siyo team ya kilimbia pembeni
Walikuwa wanapiga pasi nyingi
Hapo kati
Viungo wakabaji
Yaya
Busquet
Viungo washambuliaji
Xavi
Iniesta
Mesi
Washambuliaji
Henry
Eto
Barca walitumia mbinu ya winga mara chache sana wakimtumia David Villa
Alikuwa mlalamishi tu Yaya ila hajafika robo ya uwezo wa busquetsYaya alicheza kama beki.
Barcelona alitumia mfumo wa 4-3-3. Hayo mengine yakulazimisha Yaya anacheza no 6 niyakwako. Lakini Guardiola akiwa Barcelona alimpiga bench yaya na nafasi yake akawa anacheza Sergio. B, nahata hizo mechi mbili alizocheza nikwasababu beki wa pembeni no 2 aliumia.
Na baada ya msimu huo Yaya 2010 alieondoka Barcelona, akiwa analalamikia Guardiola nimbaguzi hapendi wachezaji weusi na nibaada yakupigwa bench nafasi yake ikichukuliwa na SB akitokea Barcelona B.
Number 7 mesi 11 ni henryhujajibu swali? Kama bartha walitumia 3~5~2 je hao mabeki wawili wa pembeni walikuwa ni nani na nani? Na kama walitumia mawinga je hao mawinga walikuwa nani na nani? Nijibu ili nikufundishe mpira bure bila ada.
haya wawili wa mbele ni nani na nani?Number 7 mesi 11 ni henry
Wakuu njoo mtoe ya moyoni katika ubora wa Pogba na ubora wa Kelvin DB. nani unamuona Yuko juu ya mwenzake?
Labda Hadi Akitumia madawa yake kwenda man u sio hoja ukiwa mzuri unatoka kokote tuKwangu paul pogba ni bora zaidi, anakuoa vitu vingi sana uwanjani, like jamaa liliharibu kwenda man u, lingeenda madrid ile ya kina cr7 saa hizi lina makombe chungu nzima.
We wolfsburg unataja jina ama timu ambayo alicheza KDB, wolfsburg ile ni bora mara 3 ya man united hii.Labda Hadi Akitumia madawa yake kwenda man u sio hoja ukiwa mzuri unatoka kokote tu
KDB mbona kawa star akiwa Wolfsburg baada ya kutoswa na chelsea
anakuaje mmoja wakati mfumo ni 3~5~2? Hao wawili wa mbele ni akina nani?Tisa mmoja etoo