Prime Pogba vs prime KDB who is the best?

wakuu njoo mtoe ya moyoni katika ubora wa Pogba na ubora wa KDB. nani unamuona Yuko juu ya mwenzake?
Kdb ni specialist kwenye Eneo lake kama mtengezaji, kwa Kizazi Chetu Fabregas, Di Maria, Kdb, Neymar, Ozil na to some Extent Messi walikua kwenye level ya Peke yao.

Ila ukitoa Utengenezaji Nafasi Peak Pogba anampita peak Kdb nyanja zingine zote zilizobakia, Ufungaji, uchezeshaji, ukabaji, pressing, pace, Aerial duels, etc.
 
TAFUTA NUMBER GOALS kati alafu uje
 
Utakuwa unachekesha lini Yaya kacheza center back?
Ana hoja lakini hii fainali naikumbuka 2009 alicheza center back
1000012894.jpg
 
Back
Top Bottom