OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
MOTO uliouwasha Prince Dube sio wa kitoto kwani jamaa unalijua goli balaa. Mpaka sasa Dube ndiye unayeongoza kwa mabao kwenye Ligi Kuu ukifungana na mfungaji bora wa msimu uliopita Meddie Kagere wa Simba.
Dube ndiye unayeibeba Azam kwa sasa, pale Yanga sioni beki wa kukuzia kwa maji anayomwaga Iddi Nado najua utapiga zaidi ya goli 2 wale Utopolo.
Najua umeshakula umeshiba unasubiri kuninyooshea Utopolo saa 2 usiku. Unajua nini ukiwapiga utopolo leo ubingwa utakuwa umeongeza CV. Jitahidi mdogo wangu ufike hata Simba Sc tu