Prince Dube ameshakula ameshiba anawasubiri Utopolo

Prince Dube ameshakula ameshiba anawasubiri Utopolo

View attachment 1763750

MOTO uliouwasha Prince Dube sio wa kitoto kwani jamaa unalijua goli balaa. Mpaka sasa Dube ndiye unayeongoza kwa mabao kwenye Ligi Kuu ukifungana na mfungaji bora wa msimu uliopita Meddie Kagere wa Simba.
Dube ndiye unayeibeba Azam kwa sasa, pale Yanga sioni beki wa kukuzia kwa maji anayomwaga Iddi Nado najua utapiga zaidi ya goli 2 wale Utopolo.

Najua umeshakula umeshiba unasubiri kuninyooshea Utopolo saa 2 usiku. Unajua nini ukiwapiga utopolo leo ubingwa utakuwa umeongeza CV. Jitahidi mdogo wangu ufike hata Simba Sc tu
Daaah tutabirie kuhusu Kimbunga Jobo bas[emoji23][emoji23]
 
Azam ni timu ambayo kwakweli kuipa imani ya kushinda mmh hapana ase, leo utanambia mkuu hamna timu hapo, timu yenyewe ndio wale akina sure boy, hahaha!! Haezi mfunga yanga
Kwan wewe ni nan AZAM asifanye yake
 
Back
Top Bottom