OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hawa hatuna nao shida, safari hii mnyama tunamchesha supu kabisa.View attachment 1763750
MOTO uliouwasha Prince Dube sio wa kitoto kwani jamaa unalijua goli balaa. Mpaka sasa Dube ndiye unayeongoza kwa mabao kwenye Ligi Kuu ukifungana na mfungaji bora wa msimu uliopita Meddie Kagere wa Simba.
Dube ndiye unayeibeba Azam kwa sasa, pale Yanga sioni beki wa kukuzia kwa maji anayomwaga Iddi Nado najua utapiga zaidi ya goli 2 wale Utopolo.
Najua umeshakula umeshiba unasubiri kuninyooshea Utopolo saa 2 usiku. Unajua nini ukiwapiga utopolo leo ubingwa utakuwa umeongeza CV. Jitahidi mdogo wangu ufike hata Simba Sc tu
Leo Dube lazima awakekete UtopoloView attachment 1763750
MOTO uliouwasha Prince Dube sio wa kitoto kwani jamaa unalijua goli balaa. Mpaka sasa Dube ndiye unayeongoza kwa mabao kwenye Ligi Kuu ukifungana na mfungaji bora wa msimu uliopita Meddie Kagere wa Simba.
Dube ndiye unayeibeba Azam kwa sasa, pale Yanga sioni beki wa kukuzia kwa maji anayomwaga Iddi Nado najua utapiga zaidi ya goli 2 wale Utopolo.
Najua umeshakula umeshiba unasubiri kuninyooshea Utopolo saa 2 usiku. Unajua nini ukiwapiga utopolo leo ubingwa utakuwa umeongeza CV. Jitahidi mdogo wangu ufike hata Simba Sc tu
View attachment 1763750

Wapigwe Tu Tumechoka!!!!!Mkia bwana!!
Huyu lazima aende Simba !View attachment 1763750
MOTO uliouwasha Prince Dube sio wa kitoto kwani jamaa unalijua goli balaa. Mpaka sasa Dube ndiye unayeongoza kwa mabao kwenye Ligi Kuu ukifungana na mfungaji bora wa msimu uliopita Meddie Kagere wa Simba.
Dube ndiye unayeibeba Azam kwa sasa, pale Yanga sioni beki wa kukuzia kwa maji anayomwaga Iddi Nado najua utapiga zaidi ya goli 2 wale Utopolo.
Najua umeshakula umeshiba unasubiri kuninyooshea Utopolo saa 2 usiku. Unajua nini ukiwapiga utopolo leo ubingwa utakuwa umeongeza CV. Jitahidi mdogo wangu ufike hata Simba Sc tu
Tayari Dube amewakeketa UtopoloLeo Dube lazima awakekete Utopolo
Huyu dube ni bonge la Fundi wa soka hapa bongoTayari Dube amewakeketa Utopolo
Hata on target tu hawatapata kama Mbumbumbu kule Mapinduzi