Prince Dube Asajiliwa Dar Young Africans

Haitustui....

Injury prone player.....trip mazoezini trip hospitalini.

Ana nyota ya nesi...anapenda hospitali kuliko uwanjani.
 
Prince Dube, muuaji anayetabasamu katika misimu minne aliyokuwa akiitumikia Azam FC alifanikiwa kufunga magoli 34 ndani ya Ligi Kuu πŸ‡Ή
πŸ—“οΈ 04 Misimu
⚽️ 34 Mabao

Mwana Mfalme ni mali ya Wananchi

🀣🀣🀣🀣
 
View attachment 3035287

Naskia kati ya hao wawili kuna mmoja ndio yeye.

Ila kutokana na mfululizo wa sajili za umri mkubwa napata tabu mno kutambua yupi boss na yupi mchezaji.
Tusubiri msimu uanze tunaomba uendelee kusajili lawama hatujazoea mkuu kama msimu uliopita mara Jobe hafai mara Freddy Tafadhari sajili mkuu.
 
Kama unanipenda niache huku huku maana huku ndipo furaha yangu ilipo...πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Huwa naumia sana nikikuona unalalamika kuhusu Simba, ndio maana kabla msimu haujaanza nakuita mapema πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…