Prince Dube Asajiliwa Dar Young Africans

Prince Dube Asajiliwa Dar Young Africans

Mchezaji Bora katika kutoka Azam Fc Prince Dube amesajiliwa na mabingwa wa kihistoria Dar Young Africans.

Young Africans waendelee kuimarisha timu kwa kufanya Usajili makini bila kukurupuka.

Prince Dube amesajiliwa ataitumika Dar Young Africans kwa miaka miwili, Prince Dube anauzoefu mkubwa katika league yetu ya Tanzania tunaimani atafanya vyema hata mashindano ya nje.

Ikumbukwe hadi sasa wameendeleza ubabe wa kuchukua mara tatu mfululizo na kwa kikosi hichi hakuna team itakayoisumbua Dar Young Africans ndani ya Tanzania na African kwa ujumla.

Prince Dube ataungana na Pacome, Stephan Aziz Ki, Clatous Chota Chama, Khalid Aucho, Max, Mudathir na wengi katika kikosi cha Young Africans kwa mwaka 2024/2025 na 2025/2026.

View attachment 3035288View attachment 3035737View attachment 3035738
Haitustui....

Injury prone player.....trip mazoezini trip hospitalini.

Ana nyota ya nesi...anapenda hospitali kuliko uwanjani.
 
Muache Guede wangu!
Yanga wakimfukuza Guede mimi na ushabiki basii
1000135057.jpg
 
Prince Dube, muuaji anayetabasamu katika misimu minne aliyokuwa akiitumikia Azam FC alifanikiwa kufunga magoli 34 ndani ya Ligi Kuu 🇹
🗓️ 04 Misimu
⚽️ 34 Mabao

Mwana Mfalme ni mali ya Wananchi

🤣🤣🤣🤣
 
View attachment 3035287

Naskia kati ya hao wawili kuna mmoja ndio yeye.

Ila kutokana na mfululizo wa sajili za umri mkubwa napata tabu mno kutambua yupi boss na yupi mchezaji.
Tusubiri msimu uanze tunaomba uendelee kusajili lawama hatujazoea mkuu kama msimu uliopita mara Jobe hafai mara Freddy Tafadhari sajili mkuu.
 
Kama unanipenda niache huku huku maana huku ndipo furaha yangu ilipo...😃😃😃😃
Huwa naumia sana nikikuona unalalamika kuhusu Simba, ndio maana kabla msimu haujaanza nakuita mapema 😅
 
Back
Top Bottom