Sijawahi kulalamika kuhusu Simba mm..mm tushinde au tusishinde nipo...huwa siipondi kabisa timu yangu.. π€£ π€£ π€£ π€£Huwa naumia sana nikikuona unalalamika kuhusu Simba, ndio maana kabla msimu haujaanza nakuita mapema π
Hujawahi kuiponda Simba, ila huwa unaumia sana. Na icho ndio kitu kinaniuma na Mimi pia.Sijawahi kulalamika kuhusu Simba mm..mm tushinde au tusishinde nipo...huwa siipondi kabisa timu yangu.. π€£ π€£ π€£ π€£
WW subiri ligi ianze...utanikumbusha tena..
Duwaa la kuku halimapati mwewe bana Analyse...ππhebu muwe na subra msijimwambafy sana kwa kujiona mtakuwa wa moto..maaana tuna mashine za kuwapooza...Hujawahi kuiponda Simba, ila huwa unaumia sana. Na icho ndio kitu kinaniuma na Mimi pia.
Nataka nikuone na furaha.
Kabla ya mechi 15 za msimu ujao, furaha utakuwa huna. Wait n see π
Sisi Wala hatujimwambafy. Tunaangalia tu jinsi mnavyosajili. Bahati yenu ni kwamba ngao ya jamii hatuchezi na nyie, lasivyo tungewapanikisha mapema π πDuwaa la kuku halimapati mwewe bana Analyse...ππhebu muwe na subra msijimwambafy sana kwa kujiona mtakuwa wa moto..maaana tuna mashine za kuwapooza...
Sema tuu usajili umewatisha mnoo yani hamkutegemea..so relaax tusubiri tukutane kwnye shoo shoo..Sisi Wala hatujimwambafy. Tunaangalia tu jinsi mnavyosajili. Bahati yenu ni kwamba ngao ya jamii hatuchezi na nyie, lasivyo tungewapanikisha mapema π π
Ngoja msimu uanze. Tuombe uzima mtaniSema tuu usajili umewatisha mnoo yani hamkutegemea..so relaax tusubiri tukutane kwnye shoo shoo..