Prince Dube Asajiliwa Dar Young Africans

Huwa naumia sana nikikuona unalalamika kuhusu Simba, ndio maana kabla msimu haujaanza nakuita mapema 😅
Sijawahi kulalamika kuhusu Simba mm..mm tushinde au tusishinde nipo...huwa siipondi kabisa timu yangu.. 🤣 🤣 🤣 🤣
WW subiri ligi ianze...utanikumbusha tena..
 
Hujawahi kuiponda Simba, ila huwa unaumia sana. Na icho ndio kitu kinaniuma na Mimi pia.

Nataka nikuone na furaha.

Kabla ya mechi 15 za msimu ujao, furaha utakuwa huna. Wait n see 😅
 
Duwaa la kuku halimapati mwewe bana Analyse...😃😃hebu muwe na subra msijimwambafy sana kwa kujiona mtakuwa wa moto..maaana tuna mashine za kuwapooza...
 
Sisi Wala hatujimwambafy. Tunaangalia tu jinsi mnavyosajili. Bahati yenu ni kwamba ngao ya jamii hatuchezi na nyie, lasivyo tungewapanikisha mapema 😅😅
 
Sema tuu usajili umewatisha mnoo yani hamkutegemea..so relaax tusubiri tukutane kwnye shoo shoo..
 
Back
Top Bottom