Tetesi: Prince Dube atia saini rasmi kuitumikia Yanga kwa miaka 2

Tetesi: Prince Dube atia saini rasmi kuitumikia Yanga kwa miaka 2

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Baada ya Timu ya Azam kumalizana rasmi na aliyekuwa mchezaji wao Dube, taarifa ni kwamba Dube ameshatia saini kuvaa uzi wa Mabingwa Yanga katika kipindi cha misimu 2 kuanzia Msimu 2024/2025.

Wadau wa Soka hapo vipi?

dube-pic.jpg

====

Pia soma: Azam FC yakubali kuvunja Mkataba na Prince Dube
 
Semaji la simba linasema kwamba. Hayupo hata top 4 wafungaji bora wa msimu
 
Baada ya Timu ya Azam kumalizana rasmi na aliyekuwa mchezaji wao Dube,taarifa ni kwamba Dube ameshatia saini kuvaa uzi wa Mabingwa Yanga katika kipindi cha misimu 2 kuanzia Msimu 2024/2025
Wadau wa Soka hapo vipi ?View attachment 3028883
Hata kama hayupo top 5 sisi tuna haja nae....tuachieni tu mtaelewa muda ukifika
 
Huyo puncture tupu. Ameshapata injury mbili kubwa akiwa Azam na pia amekaa bila kucheza kwa miezi minne sasa. Siyo Dube yuleeee.
 
Aisee Dube hatari mno, hii Yanga imezidi masifa na sasa inahitaji kucheza ligi nyingine tu kama Laliga au EPL, sasa huyu Dube nani atamkaba bongo mf kule kolokoloni, Dube akiwa katikati ya Max, Ki, Muda na Pacome ataua sana vitimu underdog kama Simba, Jkt au Mtibwa ambao hutupa points 6 na magoli 7+ , nk.

Huyu Dube akiwaka atasababisha Yanga kuonea sana timu zingine, Dube is a top class player ila tunahitaji athibitishe kwa kuwa top scorer msimu mpya. Aambiwe Yanga we need top results sio jina lake tu kuuzia Jezi

Mbumbumbu fc wamekwisha!!
 
Baada ya Timu ya Azam kumalizana rasmi na aliyekuwa mchezaji wao Dube, taarifa ni kwamba Dube ameshatia saini kuvaa uzi wa Mabingwa Yanga katika kipindi cha misimu 2 kuanzia Msimu 2024/2025.

Wadau wa Soka hapo vipi?

====

Pia soma: Azam FC yakubali kuvunja Mkataba na Prince Dube
Baada ya Timu ya Azam kumalizana rasmi na aliyekuwa mchezaji wao Dube, taarifa ni kwamba Dube ameshatia saini kuvaa uzi wa Mabingwa Yanga katika kipindi cha misimu 2 kuanzia Msimu 2024/2025.

Wadau wa Soka hapo vipi?

====

Pia soma: Azam FC yakubali kuvunja Mkataba na Prince Dube
Dube kwa hii Yanga atafunga magoli 20+ kama asipopata majeraha. Uwezo wa kudrible uko juu, kupambana na mabeki.
 
Back
Top Bottom