ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
7-2Veteran fc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
7-2Veteran fc
Kolo mumeoTulia wewe kolo
Guede abaki, proven striker.Dube yuko vizuri. Tuachane na Guede sasa
Hii inaitwa jino kwa jino, Yanga imepiga pale panapouma zaidi! Siku ingine Azam hawatarudia!Naona na Wananchi nao wamelipa kisasi.
Basi anafaa maana striker wote wa Yanga msimu huu hawajafika double digit kama ataweza kutupa goli 10+ na viungo kama Aziz,Mudathir,Max na Pacome wakatupa Yao tuna nafasi nzuri ya kutetea ubingwaTuweke takwimu sawa
MISIMU 4 YA PRINCE MPUMELELO DUBE KWENYE LIGI KUU BARA
✍️ 2020/2021 Goals 14 top Scorer wa Ligi alikuwa John Bocco na mabao 16
✍️2021/2022 Goals 1 top Scorer wa Ligi alikuwa George Mpole na bao 17
✍️2022/2023 Goals 12 top Scorer wa Ligi alikuwa Saido Intibanzokiza na Mayele Goli 17
✍️2023/2024 Goals 7 top Scorer Stephanie Aziz KI na Goli 21
Sawa dadaKolo mumeo
Pesa anayolipwa tunaweza pata wawili kama yeyeGuede abaki, proven striker.
Wanapatikana kwa urahisi sasa?Pesa anayolipwa tunaweza pata wawili kama yeye
Hiyo ndo changamoto mkuuWanapatikana kwa urahisi sasa?
msimu ujao akibahatika kufunga goli 7 yanga wamuongezee mikataba ya miaka mi4 mbeleBaada ya Timu ya Azam kumalizana rasmi na aliyekuwa mchezaji wao Dube, taarifa ni kwamba Dube ameshatia saini kuvaa uzi wa Mabingwa Yanga katika kipindi cha misimu 2 kuanzia Msimu 2024/2025.
Wadau wa Soka hapo vipi?
====
Pia soma: Azam FC yakubali kuvunja Mkataba na Prince Dube