Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Ila hua anawakanda mnooSenaji la simba linasema kwamba. Hayupo hata top 4 wafungaji bora wa msimu
Hata kama hayupo top 5 sisi tuna haja nae....tuachieni tu mtaelewa muda ukifikaBaada ya Timu ya Azam kumalizana rasmi na aliyekuwa mchezaji wao Dube,taarifa ni kwamba Dube ameshatia saini kuvaa uzi wa Mabingwa Yanga katika kipindi cha misimu 2 kuanzia Msimu 2024/2025
Wadau wa Soka hapo vipi ?View attachment 3028883
Kaja Yanga kuna wataalam wa kuzuia na kupigilia misumali ,kila kitu kitakaa sawaHuyo puncture tupu. Ameshapata injury mbili kubwa akiwa Azam na pia amekaa bila kucheza kwa miezi minne sasa. Siyo Dube yuleeee.
Baada ya Timu ya Azam kumalizana rasmi na aliyekuwa mchezaji wao Dube, taarifa ni kwamba Dube ameshatia saini kuvaa uzi wa Mabingwa Yanga katika kipindi cha misimu 2 kuanzia Msimu 2024/2025.
Wadau wa Soka hapo vipi?
====
Pia soma: Azam FC yakubali kuvunja Mkataba na Prince Dube
Dube kwa hii Yanga atafunga magoli 20+ kama asipopata majeraha. Uwezo wa kudrible uko juu, kupambana na mabeki.Baada ya Timu ya Azam kumalizana rasmi na aliyekuwa mchezaji wao Dube, taarifa ni kwamba Dube ameshatia saini kuvaa uzi wa Mabingwa Yanga katika kipindi cha misimu 2 kuanzia Msimu 2024/2025.
Wadau wa Soka hapo vipi?
====
Pia soma: Azam FC yakubali kuvunja Mkataba na Prince Dube
Atatengenezwa tuSemaji la simba linasema kwamba. Hayupo hata top 4 wafungaji bora wa msimu
Hakuna kisasi hapo maana Azam wamepata pesa plus ni mchezaji wa match moja moja kila baada ya match mbili injuryNaona na Wananchi nao wamelipa kisasi.
Tulia wewe koloHuyo puncture tupu. Ameshapata injury mbili kubwa akiwa Azam na pia amekaa bila kucheza kwa miezi minne sasa. Siyo Dube yuleeee.